kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,115
- 1,105
Hivi Kwa zama hizi kweli unaweza epuka maudhui ya video kweli ...?maana maudhui mengi yenye jumbe nyingi zipo Kwa njia ya video.Epuka maudhui ya video, bando lita dumu sana
Kwangu mimi Vodacom imekua bora kwa matumizi ya intanet, bando la 1000 kwa siki 3 walao linafika siku ya pili karibu na ya tatu.