Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Daaah ila nchi ngumu hiiNili enda kujaza fomu zaidi ya miezi 3 eti vifaa havipo, Baada ya kuji ongeza wali leta kufunga wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah ila nchi ngumu hiiNili enda kujaza fomu zaidi ya miezi 3 eti vifaa havipo, Baada ya kuji ongeza wali leta kufunga wenyewe.
Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero
Mkuu hii ya 70k inakuwaje tupe mchongo bando kero sanammh mbona router skuiz ni cheap kwa 70k unakula unlimited
Hawana za mikononiInternet imekuwa ni luxury na sio hitaji la msingi.
Dawa ni kufunga router, halotel ya elfu 70 unapata speed ya 10mbps, 95 elfu mb40 per second, tatizo ni huwezi kutembea nayo, ni mpaka uwe nyumbani, sisi wazee wa kuganga njaa, mihangaiko na misele mingi, mpaka urudi home, inakuwa haina thamani ya pesa, ila ukishinda home ni kitonga haswaaa.. Wanafamilia mnatumia, mnaunga kwenye tv yaani safi sana
Wanazo zile za gb 10 kwa 10000, gb 50 kwa 50 elfu kama sikosei.Hawana za mikononi
Chukua voda au airtel Wana router za mkononi, voda tuna lipa 150k per month.Hawana za mikononi
Si ndio zile wanalalamikia zinasumbua?Chukua router ya voda au airtel una tembea nayo.
Hapana Nina ya voda na iko Bomba Sana mkuu.Si ndio zile wanalalamikia zinasumbua?
Bei gani na speed yake ikoje?Hapana Nina ya voda na iko Bomba Sana mkuu.
Mnaona mambo ayo tatizo wengine hatujiongez sasaNili enda kujaza fomu zaidi ya miezi 3 eti vifaa havipo, Baada ya kuji ongeza wali leta kufunga wenyewe.
kifurushi nalipa 150k per month. Speed sija wahu pima maana na download na ku stream bila tabu.Bei gani na speed yake ikoje?
Duh, bei yao imenyooka kinyamakifurushi nalipa 150k per month. Speed sija wahu pima maana na download na ku stream bila tabu.
Japo Wana sema ni 40mb per second!
tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni.B
Duh, bei yao imenyooka kinyama
Tatizo hatuna vya ziadatafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni.
PambaniaTatizo hatuna vya ziada
Hebu nitumie picha ya hiyo ya ttcl, sijawahi kujua kama wana router portable.tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni.
Sio router ni ki decoder@
Hebu nitumie picha ya hiyo ya ttcl, sijawahi kujua kama wana router portable.