Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Dagha(Ganja) kwanza siyo addictive, pombe ina madhara na inaharibu society zaidi ya ganja to be honest na ni addictive.
Way back kabla ya makampuni ya sigara kuwa na nguvu ganja ilikuwa inavutwa popote bila ya matatizo then makampuni(viwanda) ya sigara yakaanza kutumia nguvu na kila aina ya mbinu kuharamisha ganja ila sasa hilo linaendelea kufa taratibu baada ya wengi kubaini kuwa sigara ndiyo zina madhara zaidi kiafya zaidi ya ganja na sigara ni addictive sana.
Jinsi ganja inavyomchukua mtu ni kama aina nyingine za vilevi, hii hutegemea na kichwa cha mtu kweni wengine huwa kwenye furaha, wengine huwatuliza na wenye vichwa 'vyepesi' huwafanya kuwa weird na wengine huwa violent. Utaratibu ni uleule, unapobaini ya kuwa aina fulani ya kilevi haukiwezi basi unaachana nacho.
 
Well, kumbe kuipinga ganja ni vita ya kibiashara na sio kwamba ina madhara ya kutishia kizazi kilichopo? Na kweli watu wengi wanaopenda kusmoke, siku hizi hawavuti sigara wamebaki wachache tu!

Wengi wanaforce, anaona kabisa ulevi fulani hauwezi ila anataka asionekane mshamba matokeo yake anaishia kuwehuka tu!
 
couple inajingiza kwenye matumizi ya bangi huwa wana real love na mzuka muda wote,sema mwisho waku huwa mbaya maana love yenyewe ni kams kilevi ukichanganya na kilevi cha bangi huwa wanachanganyikiwa kabisa wakiachana
 
Hakuna kitu kama hicho baba mtumishi! Hakuna couple zina enjoy real love kama hizo! Yani kila kitu freshy tu yani natamani nikusimlie basi tu utanifukuza kanisani😬
 
Hakuna kitu kama hicho baba mtumishi! Hakuna couple zina enjoy real love kama hizo! Yani kila kitu freshy tu yani natamani nikusimlie basi tu utanifukuza kanisani😬
🤣🤣🤣 hebu unisimulie basi mimi sikufukuzi kanisani share experience basi,ila hapo kama umenielewa nimemaanisha kama wewe tu ila nikasema ni mapenzi yanakua ya ukweli sana sema mwisho wao huwa inapelekea hadi kuchanganyikiwa wakiachana,
 
Aftermath baada ya kutumia kilevi fulani ndiyo itakufahamisha kama unakiweza au la, lazima mtu ufahamu kichwa chako kinavyoweza kupokea vilevi.
 
Hakuna kuchanganyikiwa wala nini, ila kama ni bae momento mnaenjoy kichizi😃
Yani kuna namna mna-vibe tu, crazy stuffs and all that! Yani sitaki kufunguka sana bwnaa..😃
 
Hakuna kuchanganyikiwa wala nini, ila kama ni bae momento mnaenjoy kichizi😃
Yani kuna namna mna-vibe tu, crazy stuffs and all that! Yani sitaki kufunguka sana bwnaa..😃
🤣🤣🤣🤣🤣bangi imeshaniharibia kondoo wangu
 
Hakuna kuchanganyikiwa wala nini, ila kama ni bae momento mnaenjoy kichizi😃
Yani kuna namna mna-vibe tu, crazy stuffs and all that! Yani sitaki kufunguka sana bwnaa..😃
kama ulivyochanganyikiwa sahivi kwa kumkumbuka🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…