Idiot Imbecile
Senior Member
- Nov 7, 2024
- 187
- 474
Bangi ni nzuri ukilinganisha na pombe, sigara na unga.
Kiafya pombe, sigara na unga zina madhara makubwa ukilinganisha na bangi.
Kisayansi bangi ndio ina uraibu mdogo ukilinganisha na pombe, sigara na unga.
Nimetumia bangi sana japo niliacha miaka minne iliyopita. Ubaya peke wa bangi niliouona kwangu binafsi ni kuleta uvivu, unatamani ukae au ulale tu uwaze na kuwazua mambo.
Pia ukipeleka mawazo kwenye mawazo hasi, inaweza kukuletea axienty na stress, kwa sababu inflatable utulivu unaokufanya unaoverthink tena katika mitazamo mingine ambayo ni kama illusion tu.
Nimetumia sana pombe na bangi ila ukweli pombe ni mbaya sana ukilinganisha na bangi. Pia ni rahisi kuacha bangi kuliko pombe!