Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
- Thread starter
- #121
Duhh umeweza sana! Hongera kwa kuacha kuna wengine wanashindwa kabisa kujicontrol wanaishia kuwa waraibu wa pombe,sigara au bangi!Bangi ilikua mwanzo wa matatizo mwanzoni wakati tunaanza kuvuta niliona nilichelewa wp lkn siku zinavyozid kwenda ndyo nazid kuharibikiwa bangi ilinifanya niwe naitegemea hasa usiku nilikua sipati usingizi mpaka nivute bangi na nikiamka usiku wa manane nilikuwa siwezi kulala mpaka nivute tena bangi iliniletea anxiety ikifika jioni nawaza kama nipo sehemu ambayo siwezi kuvuta basi hiyo siku nitakaa macho hadi asubuh bila kupata usingizi nilikua nakaa hata siku mbili bila kupata usingizi kama sijavuta ilinitesa sana nashukuru niliacha 2023 kuvuta bangi ile hali ya kukosa usingizi ikanifanya nihamie kwenye tungi sasa nimeacha vyote bangi sivuti,pombe sinywi,sigara sivuti,punyeto sipigi naomba ile hali isinirudie tena yalikua mateso
Uliweza vipi kuviacha hivi vyote, ilikuwa rahisi?