min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mke wa mtu mtarajiwa 😁😁😁😁🤣Nafanya tu research mkuu
Mke wa mtu mtarajiwa 😁😁😁😁🤣Nafanya tu research mkuu
Bangi haina tatizo hata kidogo. Tatizo lipo kwa watumiaji tuHola!
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
Kwani kupiga watu risasi ni kimbele ya sheria?NB: Matumizi ya bangi kwenye nchi yetu ni kinyume na Sheria.
Kuiacha sio rahisi me magetoni nmeweka adi ratibaSiku hizi umeacha 🤣🤣
C hao wanao kunywa cannabis🍁 😂Pusher ni nini tena kijana🫴🏾😅
Am having fun lol💃🏽
Elon musk havuti bange.Usiandike kitu usichokijua,addiction yeyote hua inafurahiwa na mtumiaji wake,tajiri namba moja Duniani nae anapiga kijiti,kila mtu na maamuzi yake.
Ndio lazima uchanganyikiwe maana unakuwa umezidisha kemikali ya THCDuhh zinaleta madhara mabaya yanayopelekea kuchanganyikiwa?inamaana kwa siku isizidi joint 5?
Duhh umenifumbua leo! Sikuwa najua Enzo!Ndio lazima uchanganyikiwe maana unakuwa umezidisha kemikali ya THC
tetrahydrocannabinol mwilini hii kemikali inatakiwa iingie kidogo sana ndani ya mwili ili kuweka mind sawa ikizidi ndio maana mtu huishia kudata
Wanamatatizo kichwani. Sio kila ubongo unaweza kuvumilia mikiki mikiki ya bangiWatumiaji wana shida gani?
You're welcomeDuhh umenifumbua leo! Sikuwa najua Enzo!
😅 Ukikuta manzi anapuliza hii kitu kabla ya game, ujipange aiseee balaa lake huwa la ulimwengu mwingine
Tupombe twa hapa na pale mkweKumbe huwa unaharibu meno tena🤭
Kwahiyo mkwe wewe kilevi chako ni kipi haswa?