Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ni kama uchovu hivi au mateso fulaniHangover ndo mtu anakua anajisikiaje
Nasikia tu baada ya kunywa pombe mtu anapata hangover
Hangover inaleta wenge flani mixer uchovu. Huwezi jisifia kwa raha.. na hangover ingine haitaki supu, inataka uboost na kamnyweso kengine ili mwili utulie😂Na kuna watu bado wanajisifia kuwa na hangover nikahisi ni raha😅
Oya weeeee 🔥
Ni kweli kabisa shorii, hangover inakera ndomaana napigaga zangu hard core tu! Mambo ya kuamka kama nataka kukata moto sitaeza😌💅Hangover inaleta wenge flani mixer uchovu. Huwezi jisifia kwa raha.. na hangover ingine haitaki supu, inataka uboost na kamnyweso kengine ili mwili utulie😂
Oya 😋 ngoja nikachukue ChanguAcha tu mwanangu, nimetoka mihangaikoni nikakumbuka kuna stock kabatini🤣View attachment 3581656
So huyu n ww kweli?Acha tu mwanangu, nimetoka mihangaikoni nikakumbuka kuna stock kabatini🤣View attachment 3581656
🥰🥰💨💨 Humu tuAcha tu mwanangu, nimetoka mihangaikoni nikakumbuka kuna stock kabatini🤣View attachment 3581656
Kuna kitu nataka kuimagine 😋Kwanini sasa?
Kaupaja 😋Uimagine nini sasa, unachoona ndio hicho icho we tulia!
Labla bangi inafanya pia uwe na Kaupaja katamu 😋Punguza tamaa, tujikite kwenye mada😅
Oyaaa pitia hapa mikocheni tupate zingine ninazo mfukoniAcha tu mwanangu, nimetoka mihangaikoni nikakumbuka kuna stock kabatini🤣View attachment 3581656