Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

25b7640f-5970-4888-bc24-97549873cb75.jpeg
 
Hola! 🙋🏽‍♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..

View attachment 3563320

Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)

View attachment 3563321

Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.

View attachment 3563322

Maswali yangu ni:

* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?

* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?

* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?

Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:

  • Bangi
  • Weed
  • Marijuana
  • Ganja
  • Herb
  • Grass
  • Pot
  • Dope
  • Mary Jane
  • Joint (wakati imevutwa kama sigara)
  • Spliff
  • Hash / Hashish
  • Skunk
  • Kush
  • Blaze (slang ya kutumia)

View attachment 3563324
IMG_20260516_210435.jpg

-Dagha
-Swazi-gold
-Mjani
-Mbanje
 
Kuna jamaa nakumbuka kipindi hiko school alikuwa anavuta sana bangi kiasi kwamba ikitokea akaikosa hawezi kulala kabisa.
Binaadamu anayejitambu hawezi kuvuta bangi
 
Wanaochanganyikiwa na kuathirika hata by appearance ni wanaotumia makapi ya weed na hawajui kuinyonga ile yenyewe, hapa bongo wengine wanachukia mbichi wanalazimisha kukausha kwa siku moja then wanapanda nayo..hasa Chuga

Grade ya ganja anayovuta Snoop, Obama na Wiz Khalifa haiwezi kuwa hii wanayovuta madogo wengi huku mtaani, hata Heroine

Kingine ni amount, hawa wanavuta kama dozi 24/7 hawana kiasi
 
Back
Top Bottom