sijui ni changamoto zipi unazopitia zinazofanya ukose usingizi au kuwa na mfumo mbovu wa usingizi katika mwili wako.Sasa unanishaurije mkuu? Nataka tu kulala hata 8hrs mfululizo nateseka nahisi ntakua kichaa 😭
Duhh 10😱😱 wewe ni hatari😅Nilipanga kutest mitambo ya hii kitu..
Nikamtafuta mkulima wa hii bidhaa akanipa tangu ikiwa mbichi nikaianika vizuri...
Nikafata mchakato wote wa utumiaji nikachoma nikavuta nyingi sana karibia kete 10.
Kwa kweli sikuona side effects yoyote kwangu yaani ni sawa na utumie pombe kali alafu usione chochote uwe kama umekunywa soda tena Fanta Orange.
Out of curiousity tu..Duhh 10😱😱 wewe ni hatari😅
Ungevuta zile mbichi mbichi🤣Out of curiousity tu..
maana asubuhi nilianza na kete moja ..sikuona impact..Jioni nikaamua nibebe mzigo wote nikatumia ila hola..
Au ndo kwangu haina impact.?😀😀😀
ambao leo ni addict walianza hivyo, one step at a time, in the name of Peer influence & Curiosity.Nilipanga kutest mitambo ya hii kitu..
Nikamtafuta mkulima wa hii bidhaa akanipa tangu ikiwa mbichi nikaianika vizuri...
Nikafata mchakato wote wa utumiaji nikachoma nikavuta nyingi sana karibia kete 10.
Kwa kweli sikuona side effects yoyote kwangu yaani ni sawa na utumie pombe kali alafu usione chochote uwe kama umekunywa soda tena Fanta Orange.
unataka kutembea na mikono siy😁Ndio, nikizikuta sehem natest basi..
Mkuu I was just testing ..ambao leo ni addict walianza hivyo, one step at a time, in the name of Peer influence & Curiosity.
Utaanza kidogo, utapiga utasema, "mbona hamna kitu", next time curiosity itakwambia ongeza, utaongeza na utasema, "jamani mbona si-feel kitu".
Utaendelea ili uone kwa nini inasifiwa, with the aid of consistency, days in, days out.
someday utajikuta ushakuwa an addict.
at this point kuacha inakuwa ngumu coz inakupa euphoria, sedation in the pseudoname of calmness
.
natamani ningeendelea kuelezea kidaktari zaidi, acha niishie hapa.
Damn … kama Seran 😂😂
Mkuu nakufananisha na mkurya mmoja hivi, naye anapenda hizi mambo.Naskia ukitumia kabla au wakati unafanya ngono inasaidia ku-double pleasure, hii ni kweli ama ni hadithi za vijiweni🧐.