Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

IMG-20260517-WA0006.jpg
IMG-20260517-WA0012.jpg
IMG-20260517-WA0014.jpg
IMG-20260517-WA0013.jpg
 
Daah hivi inaweza nisaidia kupata usingizi mwanana leo nikaitafute?
Nna siku ya 3 silali naona hadi dawa zinadunda!
 
Hola! 🙋🏽‍♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..

View attachment 3563320

Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)

View attachment 3563321

Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.

View attachment 3563322

Maswali yangu ni:

* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?

* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?

* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?

Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:

  • Bangi
  • Weed
  • Marijuana
  • Ganja
  • Herb
  • Grass
  • Pot
  • Dope
  • Mary Jane
  • Joint (wakati imevutwa kama sigara)
  • Spliff
  • Hash / Hashish
  • Skunk
  • Kush
  • Blaze (slang ya kutumia)

View attachment 3563324
Kwa kuongezea majina ya mtaa
-Kazi
-Maelekezo
-Dawa
-Mzigo
-Mazingira n.k

Bangi wanaizuia kutokana na propaganda. kuna umuhimu sheria ipitiwe upya. Kwa ushahidi wa kisayansi pombe na sigara zina madhara zaidi kiafya na kijamii kuliko Bangi.
 
I prefer Dawa 🥰

Wangepiga pesa mara mbili ya hizo cigar zao!
 
Hola! 🙋🏽‍♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..

View attachment 3563320

Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)

View attachment 3563321

Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.

View attachment 3563322

Maswali yangu ni:

* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?

* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?

* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?

Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:

  • Bangi
  • Weed
  • Marijuana
  • Ganja
  • Herb
  • Grass
  • Pot
  • Dope
  • Mary Jane
  • Joint (wakati imevutwa kama sigara)
  • Spliff
  • Hash / Hashish
  • Skunk
  • Kush
  • Blaze (slang ya kutumia)

View attachment 3563324
Kwanza elewa kuwa Kila kitu sio Kwa Kila mtu, pili bangi kutumika kama dawa Ina madhara yake ni madogo au sawa na dawa nyingine kulingana na allergies ya mtu, tatu kutumika kama kiburudisho hapa ndipo kwenye tatizo Kuna baadhi sijui ni ubongo hatuwezi stahimili au ni lah wakivuta wanakuwa wehu hili hata mimi linanitatiza ila mimi mara nyingi navuta occasionally tu sio mshabiki sana wa bange ila ni mshabiki mzuri wa pombe
 
Wewe ni kama mimi tu..
 
Back
Top Bottom