Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Enewei wacha nikae kimya tu maswali niliyonayo ni mengi. Sema sasa kama ulikuwa una pata utamu premium si kuna wakati utau-miss na itakubidi uwashe huo mmea tu au !😸
Yani ni hivi, ukiwa na mpenzi wako mnaelewana mna match na kuvibe kila kitu, inakuwa rahisi zaidi, mkismoke mkawa high then mkaamua kukiwasha hamchoki na hamkuji🫣 so mnaweza kukesha till dawn🫠
 
Wewe mama yako akijua kuwa una hii knowledge hamtaelewana. Enewei ahsante kwa mwongozo 👏✊
Atanilaani sana! Siku ameniripotia dogo kaonwa sijui wapi anatumia nikawa namwambia yani dogo anazingua kaharibikiwa sana! Muda huo nimetoka kula cookies🤭
 
Don't worry, everyone has secrets. Sema sasa jitahidi upunguze punguze. Kuna siku watakuta ushahidi kwenye pochi yako siku utawaambia nini 🥴😁
Duhh hii mara 1-3 kwa mwaka hata siwazi! Uzuri sikai nao😁
 
Hola! 🙋🏽‍♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..

View attachment 3563320

Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)

View attachment 3563321

Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.

View attachment 3563322

Maswali yangu ni:

* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?

* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?

* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?

Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:

  • Bangi
  • Weed
  • Marijuana
  • Ganja
  • Herb
  • Grass
  • Pot
  • Dope
  • Mary Jane
  • Joint (wakati imevutwa kama sigara)
  • Spliff
  • Hash / Hashish
  • Skunk
  • Kush
  • Blaze (slang ya kutumia)

View attachment 3563324
Kula shisha
 
So kweli..
IMG_3788.jpeg
 
Kanisani ni sehemu ya watenda dhambi kwenda kuomba msamaha.

Hivyo ukimuona mtu kanisani jua kwa namna moja au nyingine ni mdhambi
huku mtaani hakuna watenda dhambi? n vile tu wenzetu wameamua kujikana na kujishusha mbele za Mungu wao, haina budi kujishusha na kuomba rehema uwe kanisani au nyumbani..:BlanketJam:
 
Back
Top Bottom