Aww, JaxenDL umeona hizo rizzler hapo? hizo ndio zenyewe 😎Ila bange tamu nyie acheni maskhara😂😂🤣🤣View attachment 3594334
Hiyo inaitwa hotboxing baba ni hatarii😻yani hiyo huwezi elewa kama hupendi hayo mambo!Sema hizi vitu zina wenyewe, miaka hiyo nikiwa chuoni kuna jamaa ghetto lake ni kama hivyo kwenye hiyo picha halafu kuna kabakuli pembeni ya kitanda chake, sasa kuna siku nikapita kwake, kuingia tu ndani hewa nzito bangi imejaa humo utasema kapulizia marashi ya bangi , hakuna kufungua dirisha wala mlango halafu mziki kama wote. Asee nilikohoa karibu dakika kama nane hivi mpaka macho yakabadilika rangi, wakati huo jamaa yeye anakaaa na kulala vizuri tu. Tokea siku hiyo niliogopa sana hayo mambo.
Kwahiyo alikaa kwa muda gani?😁Tulikua tunasizi kwa jamaa mtu 5 kiberiti kikaisha. Mmoja akainuka akasema ngoja afate.
Akatoka nje akazunguka nyumba akarudi apoapo. Kagonga tukamkaribisha
Kaingia anatuomba kiberiti . Tukamuambia subiri kidogo kuna jamaa etu amefata anakuja soon. Fala Akakaa anasubiri kweli 😂😂
vijana wanakosa watu wa kuwaeleza haya mambo. thats the problem.Naona sikuhizi kila mtu akijisikia anatumia tu!
Nani alikuja kuwashtua?Tulikua tunasizi kwa jamaa mtu 5 kiberiti kikaisha. Mmoja akainuka akasema ngoja afate.
Akatoka nje akazunguka nyumba akarudi apoapo. Kagonga tukamkaribisha
Kaingia anatuomba kiberiti . Tukamuambia subiri kidogo kuna jamaa etu amefata anakuja soon. Fala Akakaa anasubiri kweli 😂😂
Ndio nataka kufanya utafiti kuhusu huu uyoga. Wanatumia sana watu wa America ya kusini ni kilevi chao cha asili. Wanasema inaponya hadi magonjwa ya akili kama depression, anxiety hata kuacha pombe na madawa mengine.Ndio ikoje hiyo mwanetu?
Aisee hii naitaka! Usiwe tu uyoga wenye sumu🤔Ndio nataka kufanya utafiti kuhusu huu uyoga. Wanatumia sana watu wa America ya kusini ni kilevi chao cha asili. Wanasema inaponya hadi magonjwa ya akili kama depression, anxiety hata kuacha pombe na madawa mengine.
Ukitumia unaiona dunia kivingine kabisa. Unaenda deep sana, rangi nyingi, unakumbuka vitu hadi ulipokuwa mdogo kabisa. Wanasema inarekebisha ubongo urudi sawa.
View attachment 3594980
View attachment 3594981
Hapo ndio kipengele kutofautisha aina za uyoga. Zipo aina nyingi sana za uyoga, zingine zina sumu, zingine ni mboga ya kawaida kama mchicha tu.Aisee hii naitaka! Usiwe tu uyoga wenye sumu🤔
Umesema vizuri ngoja niseme na wanangu!Hapo ndio kipengele kutofautisha aina za uyoga. Zipo aina nyingi sana za uyoga, zingine zina sumu, zingine ni mboga ya kawaida kama mchicha tu.
Hii magic mushroom huwa inajiotea yenyewe sehemu nyingi tofauti. Tusaidiane kufanya research.
Kwahiyo alikaa kwa muda gani?😁
sisi ndo tulishtuka wa kwanza . kuanza kucheka na yeye ndo anashtuka.. mbona hawa ni machalii zangu tena.Nani alikuja kuwashtua?