hapo ilikua jioni hivi tunataka kupika chakula then twende discussion, tukawa tunazungusha na ratiba za kupembua mchele zinaendelea, moshi ukanikolea yule muarusha akanitania kwa kusema uwe makini usije ukashindwa kutofautisha chuya na mchele mi nikamjibu aah sio kizembe hivyo hivi vitu sijaanza leo wala jana siwezi bebwa kindezi hivyo😄😄 kumbe nikawa nimeyakologa,, tumeendelea mpka kumaliza, sangapi sijabeba mchele kwenda kumwaga kwenye dustbin nikijua ni zile chuya na uchafu🤭😥😂,, niliskia tu hapa tayali hamna kula tena😅😅 mimi ndo kwanza narudisha ungo alf nikakaa chini kusubiri maji yachemke nipike chuya na vimawe😜😜