Hii huwa ni kwanini?🤔Si kila kichwa kinaweza himili bangi, wapo ambao huvuta na kuwa fresh na wapo ambao huchanganyikiwa kila anapovuta.
Ukiona akili inaingia ukichaa kila unapovuta jua kichwa chako hakiiwezi bangi, achana nayo kwa usalama wako.
Usingz muruaaa na meditationinanoga sana!👌
birthday yako ntakuzawadia .. sijui utatupa cake yangu 😒 au utakata tukulishe 🔥Baba keki ilikuwa ya green unajua 🤔
Sitorudia,
At least cookies..
Yeah Serious 🧐😁Like seriously?
addiction. Sema nimezishinda saivi nimebaki natumia Holy plant tu.What really happened?
ilikuaje? hata kidogo tu napenda storyaddiction. Sema nimezishinda saivi nimebaki natumia Holy plant tu.
Am grateful I can work and focus 🤲🏾.
Mwezi mmoja baada ya graduation nilimpoteza sista angu. Presha ya maisha after graduating na ilo tukio vilinikoroga.ilikuaje? hata kidogo tu napenda story
mtaa ndo ukachangia sio?,, polee na hongera kwa kuweza kutoka huko😇 ila ujitahidi usije ukarudi kwa namna yoyote ile maana wanasemaga hakuna kuacha mazima ni kupumzikaMwezi mmoja baada ya graduation nilimpoteza sista angu. Presha ya maisha after graduating na ilo tukio vilinikoroga.
baada ya msiba nkarudi Dom.. kule mtaani