Mwezi mmoja baada ya graduation nilimpoteza sista angu. Presha ya maisha after graduating na ilo tukio vilinikoroga.
baada ya msiba nkarudi Dom.. kutokea Arusha nlibeba cracks … ilivoniishia nikawa nikivuta weed peke ake sisiikii tena vizuri.
Altenative nikawa nachanganya ugoro ule wa vumbi ….. kidogo nikarudi tena kutumia na ugoro wa kuweka mdomoni.
Nlikua na michongo yangu nakimbiza. Nikipata cash kidogo naruka chuga nachukua cracks narudi dom. Ikiisha natumia geji kama altenative.
Kuna time nliumwa kifua . Kwa utaratibu nikiwaga na dozi wakati natumia bangi pekee nlikua naweza kustop kwanza adi nimalize dozi. Lkn na cracks na geji kipindi hiki nachanganya na weed nkashindwa kujizuia. Dozi napiga na stimu napigilia.
So it was like that. Nikaacha mazoezi, nikawa sizingatii msosi, mishe mishe nazo sizingatii.. nakaa Geto mda mwingi. Mimi na stimu sanaa.
Kuna mambo mengine yalitokea kwenye biashara, na afya pia. Nikakaa na kunitafakari upya . Ikabidi niende mirembe pale .. then clinic ya narhani niya DCIA ipo itega kule..