Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Naomba niongeze swali hapo hapo, hawa hawa waliokataza matumizi ya bangi mbona leo ndo hao hao wako mstari wa mbele tena kuhalalisha imagine majimbo 24 nje ya hamsini ya nchi ya Marekani yamehalalisha matumizi ya bangi kwa ajili ya kujistarehesha 😂😂😂😂
 
Naomba niongeze swali hapo hapo, hawa hawa waliokataza matumizi ya bangi mbona leo ndo hao hao wako mstari wa mbele tena kuhalalisha imagine majimbo 24 nje ya hamsini ya nchi ya Marekani yamehalalisha matumizi ya matumizi ya bangi kwa ajili ya kujistarehesha 😂😂😂😂
mataifa yaliyoendelea yameona haina shida kwa watumiaji kama itatumika kwa umakini, njoo sasa huku buzebazeba 😅
 
Back
Top Bottom