GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 790
- 2,049
Miaka mingi tu jela aisee kwa Tanzania ni kinyume kabisa cha sheria, cha kushangaza ukute sheria yenyewe tumetohoa. kutoka kwenye mataifa hayo hayo, Wazungu wangese sana 😂 wanatugeuza geuza wanavyotaka.mataifa yaliyoendelea yameona haina shida kwa watumiaji kama itatumika kwa umakini, njoo sasa huku buzebazeba 😅
😜