Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Tatizo ni emotions za mvutaji. bange haiongezi kitu kwenye ubongo wako Bali bange Ina amplify emotions za mvutaji hapo ndio kuna mtego.. kama mvutaji ni aggressive basi akivuta hiyo aggressiveness Ina amplify mala 1000 kama mvutaji anapenda kusoma vitabu akivuta hiyo tabia Ina amplify pia. Ndio maana unakuta mtu mvutaji lakini anafanya vizuri hususani kwenye masomo, mtu kama huyo anauwezo kabla ya kuvuta akishavuta huo uwezo una amplify vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…