Yani juzi nimeuziwa sijui kitu gani beach leo ndio nimehealππΎBangi nyonga mwenyewe usimwamini Pusha, atakunyongea famba akuambie Cha Arusha
NB : kama huna kichwa Cha bange usivute, now Kuna Bush weed na SK weed , usije kupewa bushabu
Ina ladha gani, unapovuta unakua unajisikiaje?Najaribu tu ephenπ
The active user has changed. Reload the page for the latest version.
Ganja nyonga mwenyewe, beach gani hiyo walikuuzia bushabuYani juzi nimeuziwa sijui kitu gani beach leo ndio nimehealππΎ
Umeuziwa Mkangafu umekua rolled up kwenye paper ukasema hiki ndio chenyeweYani juzi nimeuziwa sijui kitu gani beach leo ndio nimehealππΎ
Ni Kush herb au Bush herb? Wabongo wanasemanga Kushabu sio BushabuGanja nyonga mwenyewe, beach gani hiyo walikuuzia bushabu
Kawe wahuni wengi, halafu juzi nilikua hapo kwenye samaki, mnadaniKawe, mbwa hawa! Sawa
Manira-sheet sio unaweza kujaladia daftari?Na rolling paper zao sizipendi Raw ndio nzuri!
Kwahiyo wewe kilevi chochote unaweza kutumia?Ina ladha ya kipekee! Nikiwa nasmoke najisikia napata amani, nakuwa huru! High and higher!π«
Oooh kumbe, wabongo mna manenoNi Kush herb au Bush herb? Wabongo wanasemanga Kushabu sio Bushabu
mataifa yaliyoendelea yameona haina shida kwa watumiaji kama itatumika kwa umakini, njoo sasa huku buzebazeba πNaomba niongeze swali hapo hapo, hawa hawa waliokataza matumizi ya bangi mbona leo ndo hao hao wako mstari wa mbele tena kuhalalisha imagine majimbo 24 nje ya hamsini ya nchi ya Marekani yamehalalisha matumizi ya matumizi ya bangi kwa ajili ya kujistarehesha ππππ