Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

mataifa yaliyoendelea yameona haina shida kwa watumiaji kama itatumika kwa umakini, njoo sasa huku buzebazeba πŸ˜…
Miaka mingi tu jela aisee kwa Tanzania ni kinyume kabisa cha sheria, cha kushangaza ukute sheria yenyewe tumetohoa. kutoka kwenye mataifa hayo hayo, Wazungu wangese sana πŸ˜‚ wanatugeuza geuza wanavyotaka.
 
Ndio iliviyo mfano, Penal law tunayo apply kwenye ciminal cases tumetoa india huku ndio tunatumia kwenye penal code yetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…