Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Sasa na utuoe mfano hai,kwanini wewe imekuokotesha mkopo,tusaidie kujua umeivuta kwa muda gani type mikasa na vituko iliyokuletea!
 
Wengi wanavuta makushabu ndio wanachanganyikiwa , na midomo kuwa na rangi nyeusi na macho kama nyanya , ukifika pale mirembe wodi yao imetengwa mkono wa kulia geti la pili🤣🤣

😂😂😂😂
 
Bangi siitaki iliniletea Anxiety siitaki tena
 
Sasa na utuoe mfano hai,kwanini wewe imekuokotesha mkopo,tusaidie kujua umeivuta kwa muda gani type mikasa na vituko iliyokuletea!
Haijawahi kuniletea mkasa wowote, ndio naanza!
 
Kwani ni madhara gani husababishwa na mmea?
 
Mimi navuta bangi nikiwa najiandaa kwenda kazini na nikirudi usiku kabla ya kulala lazima nivute, cha ajabu ni kwamba huwezi kunijua kama nimekula wida,Labda uangalie macho ndo ubahatishe.
Bangi inatumiwa kwa ushauri wa daktari. Kuna watu familia zao zina historia ya magonjwa ya akili, hawa hawaruhusiwi kutumia wida, pia kwenye uraibu inategemea, inatakiwa usiouzoeshe ubongo kwa cannabis mara kwa mara.
 
Mimi ukiniona utasema mke huyu hapa! Kumbe kazi ngumu😎

Safi sana mkuu! Hawa wenye historia za wazimu wasiguse hii namna gani, itawapeleka vibaya! Tule kishungi mwanetu✌🏽
 
Mimi ukiniona utasema mke huyu hapa! Kumbe kazi ngumu😎

Safi sana mkuu! Hawa wenye hiatoria za wazimu wasiguse hii namna gani, itawapeleka vibaya! Tule kishungi mwanetu✌🏽
😄😄 sawa kabisa, ile pp yako unakumbuka nilikwambiya nimeipenda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…