Washamba wasikusumbueπWashenzi walinidis sana mpaka nikaona niiondoe tu! Mtu akishinda njaa huko hasira anamalizia kwenye id yanguπ
NaipatajeWelcome to the club!
Mimi nitakua Sizi-mate wako mkuuNataka nianze kuvuta nione kama kweli
Nilipoanza kuvuta nikawa najisemea nilichelewa wp kutumia msuba kadri siku zinavyokwenda ikawa inaniathiri kuna siku tulienda na washikaji club mida ya saa tisa usiku tulirudi mimi kufika home nikapanda kitandani aiseeee najigeuza kitandani usingizi hauji mpaka kunakucha sikujua kuwa kukosa usingizi ni madhara ya bangi nikaendelea zangu kuvuta msuba basi ilikua ikifika mda wa kulala lazima nivute msuba ndyo nipate bila hvyo nakesha hadi asubuh kuna kipindi navyotaka kuacha bangi naweza kukaa siku mbili sipati usingizi yaan kulala kwangu mpaka nivute bangi na ikatokea usiku labda nimeshtuka na sina bangi basi nitakaa macho hadi kunakucha nashukuru sasa sitegemei bangi ili nilaleIlikuwaje tueleze kidogo..
Pole sana mkuu, kwakweli haikufai kabisa, na ina vichwa vyake! Binafsi sijawahi kuona maajabu yake..Nilipoanza kuvuta nikawa najisemea nilichelewa wp kutumia msuba kadri siku zinavyokwenda ikawa inaniathiri kuna siku tulienda na washikaji club mida ya saa tisa usiku tulirudi mimi kufika home nikapanda kitandani aiseeee najigeuza kitandani usingizi hauji mpaka kunakucha sikujua kuwa kukosa usingizi ni madhara ya bangi nikaendelea zangu kuvuta msuba basi ilikua ikifika mda wa kulala lazima nivute msuba ndyo nipate bila hvyo nakesha hadi asubuh kuna kipindi navyotaka kuacha bangi naweza kukaa siku mbili sipati usingizi yaan kulala kwangu mpaka nivute bangi na ikatokea usiku labda nimeshtuka na sina bangi basi nitakaa macho hadi kunakucha nashukuru sasa sitegemei bangi ili nilale
Ni ile unakuwa kwenye dimension nyingine sasa ile hali kwa watu wengi hasa wanaoanza (kuona lile wenge) ndo wanahisi ni uchizi, but zile frequency ndo stimu yenyewe. Japokuwa kuna mind zinashindwa kuendana na ile hali ndo hao wanaowehuka.Hivi huwa kuna equation gani hapo kwamba ukivuta tu tayari unakuwa mbili kasorobo?
Duhh mbona hatari! Kumbe ndivyo inavyokuwa? Kweli kila mtu na kichwa chake!Ni ile unakuwa kwenye dimension nyingine sasa ile hali kwa watu wengi hasa wanaoanza (kuona lile wenge) ndo wanahisi ni uchizi, but zile frequency ndo stimu yenyewe. Japokuwa kuna mind zinashindwa kuendana na ile hali ndo hao wanaowehuka.
Eee weed sio ya kila mtu.Duhh mbona hatari! Kumne ndivyo inavyokuwa? Kweli kila mtu na kichwa chake!
kunakuwaga na nguvu ya ziada inayokufanya uwe mbili kasoroboHivi huwa kuna equation gani hapo kwamba ukivuta tu tayari unakuwa mbili kasorobo?
siijuw ila kuna ndug alibisha akavuta bangi akawa muokota makopoNguvu ipo hiyo?