Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Ilikua kitambo O level uko mkuu. Ila nimekuja kuelewa kuhusu maamuzi ukubwani.

Ntawafundisha wanamngu wawe na msimamo sana.
 
Mambo ya Gram..Sio gharama..Ila wengi fata mkumbo..Skanka ina heshima yake..
 
Assume Kila siku mtu anatumia 5k (minimum) kwaajili ya grams, hii ni kwa mikoani maana dar bei ipo chini kidogo afadhali.

Kwa kijana wa boda boda na bajaji inamuumiza
 
huwa kunakua na sababu nyingine nyuma zinapelekea mtu ziruke moja kwa moja. Ila sio bangi peke yake. Bangi ni kama catalyst tu
Mimi pia nahisi hivyo! Haiwezekani..
 
Assume Kila siku mtu anatumia 5k (minimum) kwaajili ya grams, hii ni kwa mikoani maana dar bei ipo chini kidogo afadhali.

Kwa kijana wa boda boda na bajaji inamuumiza
Hmm hapana mwanza nilikuwa napata cheaper, chuga za buku 10 zinakaa sana, huko mwezi haufiki!
 
Inaumiza sana!
 
tupeleke shauri mahakamani. Jaji Nduguro atupe hati/kibali cha kumiliki stoku 😁🙃
Wanazingua sana hii nchi, mashamba ya bangi ni yako, ila miamba yenye dhahabu yao! Ukitekwa haujulikani ulipo ila ukilima bangi utajulikana na dunia!
 
Hmm hapana mwanza nilikuwa napata cheaper, chuga za buku 10 zinakaa sana, huko mwezi haufiki!
Skunk au cha Arusha ? Maana ni tofauti

Maana Arusha skunk ni 3k per gram street price. Dar unapata ata kwa 1k per gram
 
Wanazingua sana hii nchi, mashamba ya bangi ni yako, ila miamba yenye dhahabu yao! Ukitekwa haujulikani ulipo ila ukilima bangi utajulikana na dunia!
NNdoto zangu ni kuleta mapinduzi kwenye hii sekta. hii kitu ni treasure ndo maana mfumo unataka iwe under control.

Ila tatizo mfumo wetu haukui sasa.
 
Skunk au cha Arusha ? Maana ni tofauti

Maana Arusha skunk ni 3k per gram street price. Dar unapata ata kwa 1k per gram
Hmm serious? Naomba nitumie connection bobo aiseew😋
 
NNdoto zangu ni kuleta mapinduzi kwenye hii sekta. hii kitu ni treasure ndo maana mfumo unataka iwe under control.

Ila tatizo mfumo wetu haukui sasa.
Tungeanzisha club yetu ila hawa majamaa hawachekeshi tutanyea debe😆
 
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…