Sijaelewa vizuri apo kwenye mikato,Mikato yao itakuwa tofauti kbs Nami aisee, ila kwa Mai wanakata fresh sana wadau.
Mambo yao nami yatakuwa tofauti maana miye watu wangu wengi wanatumia kilaji.Sijaelewa vizuri apo kwenye mikato,
Ila kama ndo ile mikato yenyewe unamaanisha basiWote mkiwa high show inakuwa high. Na lazma muende extra time ๐
Yule wa kufanana nae akili hauwezi kuolewa nae amini hicho nakwambiaNdio aisee nilipata kibwana kimoja tunafanana akili๐๐พ
Yamepita yatakuja mengine na unapona mpk makovu.Kilioa mwaka juzi kishenzi vipi,
Wala sikuumia ila nilienjoy the moment we had! Kama tuliweza kusmoke na kulewa pamoja, kupanda juu ya meza.. kuimba barabarani usiku tukiwa tunatoka zetu club elevate, we were crazy asf๐Yamepita yatakuja mengine na unapona mpk makovu.
Maisha hayajirudii bora ulifurahia maisha yako.Wala sikuumia ila nilienjoy the moment we had! Kama tuliweza kusmoke na kulewa pamoja, kupanda juu ya meza.. kuimba barabarani usiku tukiwa tunatoka zetu club elevate, we were crazy asf๐
Joint na playlist tu,,,Kwakweli mimi na wewe tumeshindikana๐
Mapema kabisaa!!๐
Hivi ndo tunaita weekend โฆAisee nahitaji kusikiliza pia..
Nimejikandika kwanza kiugali๐