Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Inakua kawaida ila wale wenye vichwa vyepesi ndo wanapenda kufanya hivyo.

Nicotine inasaidia kubalance mitingo. Kuna mtu akigonga bia tu lazma awashe fegi
 
Kweli kuna kipindi nilikuwa nakunywa sminorff huku ninayo kwenye vidoleπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
Inatokea mara nyingine mazoea..

Ila saivi siwezi kupiga ata race tatu kama imewekwa nyota.

Dry ina raha yake . Unawaka kama indicator 🚨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…