Prisonerx
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 681
- 1,792
Futa kabisa. Kamishina wa sasa yupo kikazi zaidiKwa hiyo wale tuliokuwa na tumaini LA kilimo cha bangi kuhalalishwa ili tupige hela awamu hii ndio tushaumizwa hivyo!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa kabisa. Kamishina wa sasa yupo kikazi zaidiKwa hiyo wale tuliokuwa na tumaini LA kilimo cha bangi kuhalalishwa ili tupige hela awamu hii ndio tushaumizwa hivyo!?
Rushwa ndo haivumilika lakini suala dogo la kiutendaji ndo mpaka wakubwa wapate taarifa???? Kuna kujisahau au kuzidiwa ujanja inabidi tusaidianeTukilindana umma utanufaika nini? Kila mtendaji afanye kazi angalau kwa wajibu wake. Haina maana ya kuwa mtendaji na eneo lako la kazi limetawaliwa na madhaifu. Ni aidha hautoshi (incapable) ama hauna msukumo wa kutosha. Sasa atakayekutonya hapo si atakuwa adui wa maendeleo?
Kwani kuna wilaya ya Meru? Arumeru ni wilaya ambayo ndani yake kuna Halmashauri ya Meru. Kwa maana hiyo bangi inalimwa wilaya ya ArumeruHuyo jamaa anafananisha Meru na Arumeru
Hao watakuwa siyo ccm ndo maana! Uza bangi uwe Mwana ccm, haufuatwi. Wengine wanaweka tu bendera ya ccm mambo shwari kabisa.Bangi haijawahi mteketeza mtu labda iwe imechanganywa na vitu vya kijinga. Ligeuzwe kuwa zao la kibishara
Mbona arumeru makao yako ngaramtoni? Na meru ndio hapo usariva na arusha ni pale philips na manispaa ni mjini kati. Au nimekosea.... kwani kuna Arumeru na Meru? Formally Arumeru nowadays Meru.
Officer Commanding Station
Shida ya polisi Arusha group kubwa hupangwa barabarani kukusanya pesa kwenye magariRais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais Magufuli amesema haya...
“Nimekuona jana au juzi ulikagua kijiji kwa kijiji na kukuta gunia za Bangi, sasa IGP nataka mkuu wa Polisi wa Meru aondolewe, DSO wa Meru aondoke, maana yake hawakutimiza wajibu wao, haiwezekani mtu atoke Dar aende akakamate Bangi Meru wakati wao wapo”
OCCID wote watoke, ikiwezekana washushwe cheo maana hatuwezi kwenda kwenye utaratibu huo. Na wewe wa Kitengo cha Madawa nakuthibitisha leo
Pia, Rais Magufuli amemthibitisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, James Kaji, kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo, leo Julai 06, 2020.
Huyu Kamishna wa Madawa ya Kulevya siwezi nikamuapisha hapahapa?, tengenezeni kiapo haraka mkimaliza nimuapishe sitaki kurudi tena hapa
Rais Magufuli akimuapisha James Wilbert kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini.
Hivi mawazo alipotea zama za Magufuli au kikwete?Magufuli , must go
The assassination of Aliphonce Mawazo proved that magufuli must go
Hata DC naye angepigwa chini yeye ana kazi ya kushabikia Yanga huku watu wanateketea kwa bangi.
ahahahahaaaaHata DC naye angepigwa chini yeye ana kazi ya kushabikia Yanga huku watu wanateketea kwa bangi.
OFFICER COMMANDING STATION -OCS
Ndo.apo sasa kakangu,mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe,ila nao wanazid mno kuutesa UPINZANIWaanaambiwa wawe bize na kazi za kuisaidia CCM kubaki madarakani, huku majukumu yao ya kimsingi wakikosa muda wakuyashughulikia.
Mwishowe anawaambia wameshindwa kazi!!
Wewe Dada haiyumkini unaishia buza kwa lulenge kwani tabia yako inaakisi maeneo hayo! Lissu atarudi tu na atagombea hata Kama hutaki! Kama vipi kunywa sumu ufe itapendeza!Chadema watapinga na kusema Lisu tu ndiyo shujaa wa bangi
Bora umewaona! Hao ndio wanafiki ninaowasema kila siku kuwa wamejazana ccm kwa maslahi yao yasiyosaidia chama na kimsingi wanaipigia promo cdm ili ijulikane zaidi!hivi wana CCM wenzangu mbona mna nye-ge na Chadema kiasi hichi? aibu kwa chama!