Omary Mkundi
Member
- Aug 30, 2022
- 15
- 9
Ganja sioBangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Haaahaaa sunajua kabla hujaivuta tayari akili inatambua kua haitakiwi au ni halam sasa hata ukisha ivuta inakukontrol sana ktk hilo wale wanao data inatakiwa aiache haimfai kwanza bange inahitaji uwe na lishe nzuri asa watu wengi wanao data unakuta hawana lishe asa uvute bangi afu lishe hakuna unatarajia nn, afu inahiyaji uivute ukiwa umetulia haupo kwenye msongamanoNi kweli kabisa kwamba Uvutaji wa Bangi / Bange huwa ' unawadatisha ' Wavutaji hadi wanafanya mambo ya ajabu kabisa na ya Kustaajabisha ila sijawahi kuona mvutaji yoyote wa hiyo Kitu ' anadata ' halafu anaenda Kunya ( Wazaramo wanasema Kuukweka ) pale Getini Ikulu au Geti la Kuingia Lugalo au katika ngazi za Jengo la Central Police pale Stesheni. Nitashukuru nikijibiwa ni kwanini hao Wavutaji wote pamoja na ' Kudata ' Kwao kote kwa huo Ulaibu / Kilevi huwa wanakuwa na nidhamu na umakini wa hali ya juu katika hayo maeneo nyeti na muhimu niliyoyataja.
Ofcoz nakumbuka hata pindi nipo chuo ilinisaidia sana ktk usomaji maake ilinipa uwezo wa kuelewa kitu mapema saana na nikisoma topic ina kaa fastaKwahiyo wewe brain yako iko suitable na ganja mkuu
Je ukinogewa?You won't regret..trust me, ila kichwa chako kiwe kizuri.
Sina hakika san kama kweli inawasiadia masomoni kwani wewe sio mtu wa kwanza kukusikia usema hayo , kuna janaa na mimi nilipiga naye chuo fulani , jamaa alikuwa kabla yakuingia kwenye pindi kwanza anakwenda kupuliza msuba wake , alafu anaingia class, offcourse jamaa tulimuaminia sana kwenye masomo na baadhi ya maswali tulikuwa tuna solve naye yeye kama kiongozi wa group discussion ,Ofcoz nakumbuka hata pindi nipo chuo ilinisaidia sana ktk usomaji maake ilinipa uwezo wa kuelewa kitu mapema saana na nikisoma topic ina kaa fasta
Kwa saiz mazingira niliyo ni magum sana kuipata hata kuitumia pia ila inaonekana huyo jamaa kwenye pepar hakuitumia ndio maana alidunda na ukisha itumia kabla hujaenda kwenye pindi inatakiwa ipite nusu saa ndio ukapige pindi kiukweli inauwezo wake bangi sio siri sema nn inakufanya kua active balaa na akili inakua nauwezo wa kushika mambo harakaSina hakika san kama kweli inawasiadia masomoni kwani wewe sio mtu wa kwanza kukusikia usema hayo , kuna janaa na mimi nilipiga naye chuo fulani , jamaa alikuwa kabla yakuingia kwenye pindi kwanza anakwenda kupuliza msuba wake , alafu anaingia class, offcourse jamaa tulimuaminia sana kwenye masomo na baadhi ya maswali tulikuwa tuna solve naye yeye kama kiongozi wa group discussion ,
Japo sometimes alikuwa kama zezeta hivi akitoka kupuliza ganja zake, ila sasa kwenye paper akanguka vibaya sana,
Wengie tukayenya kiaina
Kwahiyo wewe hadi sasa unafaidika nayo kwa sana ?
Kwa saiz mazingira niliyo ni magum sana kuipata hata kuitumia pia ila inaonekana huyo jamaa kwenye pepar hakuitumia ndio maana alidunda na ukisha itumia kabla hujaenda kwenye pindi inatakiwa ipite nusu saa ndio ukapige pindi kiukweli inauwezo wake bangi sio siri sema nn inakufanya kua active balaa na akili inakua nauwezo wa kushika mambo haraka
Aisee hii ki2 ni ya ajabu sana , sema inategemea na kichwa chako kilivyo , coz kikiwa chepes basi fikra zutashindwa kuzihimili na hatimae unafanya mambo ya ajabuBangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Mkuu upo sahihi kabisa na nahisi inafungua macho kuona mbali sema nn watu waitumia vibaya hata vichwa panzi wanaitumia ndio maana wengi waishia kuwa mateja na kufanya mambo mengine ya ajabu kikubwa inahitaji brain yako iwefit kuhimili mambo mengi inayo kuoneshaAisee hii ki2 ni ya ajabu sana , sema inategemea na kichwa chako kilivyo , coz kikiwa chepes basi fikra zutashindwa kuzihimili na hatimae unafanya mambo ya ajabu
Ila kma ikikukubali(ukawa na kichwa kizuri) basi hii kitu itakupa full meditation na utaweza ku-achieve mambo mengi ambayo yanawashinda wengine wengu tuu!
Sema hii kitu inahitaji utulivu na haipendi kuchamganywa na vilev vingne ili ifanye kaz yake vizuri...
Mkuu umenikumbusha mbali sana[emoji38] [emoji38] kipindi bado nipo kijana unaambiwa siku moja tulipika bangi ya nazi tukala na ugali, unaambiwa kilichofatia hapo[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] tulilala tangu tumalize kula kwenye saa 9 mchana hadi siku ya pili asubuhi ndio tunashtuka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Sisi kwetu mboga majani yake na mbegu zake ni kiungo chake kwa ugari roho yako itasuzika
Kwani ngada ya kunusa na kujidunda ipi zaidi?Hizo hazi fungui brain kama ya kuvuta naima ya kuvuta inanguvu zaidi
Mie bangi ngada huko sitojaribu kamwe ile ni kivi na haisaidii katika fikra pevuKwani ngada ya kunusa na kujidunda ipi zaidi?
Inategemea na nia yako kama ni kwa starehe au mengine, ila kwa wewe kashata mbili tu chali[emoji23] [emoji23]
Swali langu umelielewa? Ulisema jani la kuvuta pekee ndilo linalofungua akili, inamaana hizo kashata kwamba hamna kitu. Nimekuuliza kwani ngada ya kuvuta au kunusa ipi zaidi?Mie bangi ngada huko sitojaribu kamwe ile ni kivi na haisaidii katika fikra pevu
Sjawahi kula bange ila yakuvuta nishatumia so hiyo ya kashata mkuu naiman inaingia kwenye utumbo tu na ya kuvuta inapanda kichwanSwali langu umelielewa? Ulisema jani la kuvuta pekee ndilo linalofungua akili, inamaana hizo kashata kwamba hamna kitu. Nimekuuliza kwani ngada ya kuvuta au kunusa ipi zaidi?
Bangi sio mbaya wala hakuna maruwe ruwe kama mnayodanganyanaBangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Kawaida tu ila watu wanaongeza chumvi nyingiMe natamani Siku moja Nijaribu kuvuta hii kitu nijue inafananaje....
watu wanadanganyana sana kuhusu bangiBangi ni kitu Cha kawaida tu.. stimu yake ni kama sigara.. sema ukivuta kete nyingi afu ni siku yako ya Kwanza .. lazima ujione upo juu juu.