Bangi ni mbaya sana

Sjawahi kula bange ila yakuvuta nishatumia so hiyo ya kashata mkuu naiman inaingia kwenye utumbo tu na ya kuvuta inapanda kichwan
We jamaa unaonekana mtoto sana.

Na bangi hauijui unaisikia tu tena si ajabu hata kuishika hujawahi.

Na kama umeshawahi basi walikuwa wanakuvutisha kinyesi na majani ya mpapai we ukidhani unavuta bangi
 
We jamaa unaonekana mtoto sana.

Na bangi hauijui unaisikia tu tena si ajabu hata kuishika hujawahi.

Na kama umeshawahi basi walikuwa wanakuvutisha kinyesi na majani ya mpapai we ukidhani unavuta bangi
Nitake radhi mkuu nizaid ya miaka 8 sasa naismok
 
Ushawahi kutumia?
 
h
ihihi bangi inategemea na fuse zako kichwani zimekaaje ndo jinsi itakavyokupekeka atii
 
Day one nilivuta cha Arusha, yaliyojiri baada ya hapo ilikuanibattle kubwa na akili yangu, kidogo nipoteze lkn nikashinda na baada ya hapo nikanyoosha mikono juu
Hhaaa ilikuaje mkuu
 
Mi ganja sivuti tena nkivuta inanipa nidhamu ya woga kishenzi. Nlikua nimelala room mdogo wangu akajakunistua broo, nikajikuta nasema "shkamoo mama.."
Mkuu, [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Atiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
kuna jamaa alivuta sasa wakati anarudi home kufika sebuleni kwao akamkuta dingi yake amekaa anasoma gazeti, jamaa akasimama akamcheki mzee kwa makini kama dakika moja hivi then akamuuliza 'oya bro kama nakufananisha vile hivi tushawahi onana wapi!?'
 
Mjani oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Day one nilivuta cha Arusha, yaliyojiri baada ya hapo ilikuanibattle kubwa na akili yangu, kidogo nipoteze lkn nikashinda na baada ya hapo nikanyoosha mikono juu
Thank to bro Mohd. Alikuwaanapiga sana weed na bro J, huku dogo nikiwashuhudia. Kuna siku uvumilivu ukanishinda, nikataka kujaribu. Nikaomba. bro J. si akafanya kama ananipa vile, Bro Mohd akanichapa bonge la konzi. Akaniambia ukisogelea nakuongezea,wakati huo nundu la konzi la kwanza lilikuwa limeshaanza kuvimba. Nikachomoka kwenda kulala. na hiyo ndo, ikawa nafuu yangu.
Nimebakia kupenda vituko vya watu wa Weed tu. Ukikaa nao utafurahi sana.
Missing you Bro Sos, Bro Kipingu(RIP).
One Love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…