Sodoma sio starehe ile. Ila weed mama hata nikiolewa ntakua napiga mara moja moja. Sasa hivi muda tu na mazingira vinanifanya nisiitumie ila naielewa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tulikaa sehemu na msanii fulani wa bongo flavour. Sasa mimi na rafiki angu bangi tunavuta tukiona basi akatupa tukavuta. Tukatoka hapo tulikua tunacheka njia nzima mpaka tunafika home. Kulala mwenzangu akajamba nilishtuka sikujua kama kajamba nilijua kumetokea shoti ya umeme ndani. Nikamuuliza L umesikia hii sauti iliyolia muda huu? Akajibu sauti gani. Nikamwambia humu ndani kumetokea shot ya umeme. Nikaanza chek kila kitu nimepanic balaa. Akasema kwani umesikia nini? Nikamjibu nimesikia kitu kimelia puuuuuuh. Akasema ni mimi nimejamba.tulicheka masaa mawili.Mi ganja sivuti tena nkivuta inanipa nidhamu ya woga kishenzi. Nlikua nimelala room mdogo wangu akajakunistua broo, nikajikuta nasema "shkamoo mama.."
Za kazi gani fundi wanguNataka hizo..seriously
Mmmh najijua akili zangu naweza piga watu ovyo ngoja nimsubiri bebe ntavutaJaribu wala haiko kama wanavyoisema
Hahahahahahahaha naweza pata Wapi hizo cake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nilipewa cake moja tu. Nilikula nikaumwa siwezi sahau. Watu walijua malaria imepanda kichwani ndo maana nalia na kutikisika kichwa kama nina mapepo. Halafu kwenda kupimwa nikakutwa na malaria mbili kweli bila kujua ni weed nililishwa.
Alienipa anasema alinunua kigamboni. Sijawahi kula tena toka siku hiyo. Nitatafuta wanapouza hiki mjiniDah! Umenitamanisha kweli, cake![emoji39] [emoji39]
Hizo zinapatikana wapi?[emoji39] [emoji39]
Umewahi kuivuta? Nini kilikutokea?You won't regret..trust me, ila kichwa chako kiwe kizuri.
Pata bangi ukiwa unasikiliza sweet reggae au za lucky dube, full shangwe unapata ujumbe mzuri unasikia neno baada ya neno.Nilikutana na rafiki angu club kabeba kama 6 hivi. Akaniambia chukua moja. Na mie kwa uroho nikachukua. Yaliyonikuta sasa. Nikasema ntavuta bangi yenyewe nione ikoje. Nikavuta nikaipenda kiukweli ila sigara sijawahi
Inapatikana wapi hii jamani, au mwenye recipe yake anipe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wahindi wanasaga bangi na kutengeza JuiceSipati picha hii juice jinsi ilivyo na Stimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hamna sijaipa promo ila maisha yakiwa poa na sina stress za hapa na pale,naweza kurudi kundini.duh alafu mbn kama mnakishangilia hiki kilevi sasa
Ingia kwenye club mamaduh alafu mbn kama mnakishangilia hiki kilevi sasa
Hahahaha bangi mbaya sana.... Sisahau siku nikiwa najarib kutafuta urafiki na bangi.... Weeeee kwanza cha kwanza kuona niliona nimejeuka juu chini nimening'inizwa juu mti...[emoji1] [emoji1] bangi haivutwi na njaa[emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kashata na kahawa zinanogaZa kazi gani fundi wangu
Still using...zaidi ya starehe hakuna kituko cha ajabu sana nilichowahi kufanya.Umewahi kuivuta? Nini kilikutokea?
Nakumbuka nimewahi kulamba cannabis oil yalikuwa yakitumika kama dawa kwa mgonjwa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wahindi wanasaga bangi na kutengeza JuiceSipati picha hii juice jinsi ilivyo na Stimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Duuuu!! anyway...,OKStill using...zaidi ya starehe hakuna kituko cha ajabu sana nilichowahi kufanya.
AiseeeeKashata na kahawa zinanoga
Bangi ya kuvuta ipo poa kwa kuwa unavuta kwa kiwango unacho hitaji ukiona maji yanazidi unga unatafuta njia ila usiombe watengenezeee chakula ama juisi huwezi kusema basi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wahindi wanasaga bangi na kutengeza JuiceSipati picha hii juice jinsi ilivyo na Stimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ha ha haaa mbona umeshtuka? Ni mboga za majani tuDuuuu!! anyway...,OK
Nani huyo? Mi siiogongi sana lakini. Naweza kaa hata miezi sita sijavuta. Last tym nimevuta ilikua August. Sema ningepata mazingira mazuri mbona ingekua oya oya tu.hahaha unajua siamini uanyoandika hapa !hahaha bas uungane na mdada mmoja humu anaigonga km kawa!mwe haya