mwanzo 1: 31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
bangi siyo mbaya ila ni namna gani unavyoitumia ndo inakua mbaya kwako, wewe jaribu kula maandazi kama 50 hivi ndo utajua ngano ni nzuri au mbaya
Wakati flani kaka yangu alikuwa akivutia ndani ,ule moshi wake nilikuwa najihisi nimekuwa tofauti , kichwa changu ilikuwa kimeingiliwa na kilevi ambacho sio cha kawaida. Kaka yangu ana mawazo ya maendeleo sana lakini yy mwenyewe ukiangalia maisha yake ni hopeless kwakweli, anyway ni ulevi na ni maamuzi na utashi wa mtu mwenyewe.Demi keshasema. Atakuwepo mwingine tena. Ila kweli kitu hakiwezi kuwa kibaya kama hakijawahi kukufanya vibaya. Ndo mimi na wewe sasa. Siwezi ina ubaya wake kwa kweli. Mara chache nilizovuta nimeenjoy.
Sawa ila huwezi ifananisha na cocaine ama heroine.Wakati flani kaka yangu alikuwa akivutia ndani ,ule moshi wake nilikuwa najihisi nimekuwa tofauti , kichwa changu ilikuwa kimeingiliwa na kilevi ambacho sio cha kawaida. Kaka yangu ana mawazo ya maendeleo sana lakini yy mwenyewe ukiangalia maisha yake ni hopeless kwakweli, anyway ni ulevi na ni maamuzi na utashi wa mtu mwenyewe.
NB; bangi ni miongoni mwa dawa za kulevya
subutu !ninige wanangu kisa bangi!Mama jaribu. Usitake kuhadithiwa. Halafu wala haina addiction.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Acha woga mbitisubutu !ninige wanangu kisa bangi!
Kwa bangi mie mwenyewe hapana aiseeeee kama inaongeza nyege kwenye mitanange kama asemavyo mzigua acha wafaidi tumimi haiji tokea !acha nijidunge smirnoff tu
yeah acha wafaidi !mie nipo tu hapa nawasoma ila moyon ninalia tu kivyangu vyangu !anywys maisha lazima yasonge !Kwa bangi mie mwenyewe hapana aiseeeee kama inaongeza nyege kwenye mitanange kama asemavyo mzigua acha wafaidi tu
Ambayo wataalamu na watumiaji wanasema hii inafunction zaidi kwa mwanamke na inategemea na saikolojia ya kichwa na mwili wake wakati anaivutaKwenye kupatia usingizi na kunogesha tendo letu pendwa naikubali sana
Hii kitu haimfai kila mtu...mshauri aache. Tena hali yako ya kimaisha ikiwa haieleweki ndio mbaya zaidi.Kaka angu anavuta bangi kwa zaidi ya miaka 30 ukiangalia maisha yake sio mazuri na yy mwenyewe anakiri ni sababu ya kuvuta bangi
Basi itakua kweli. Nimeshajaribu nikapenda sana.Ambayo wataalamu na watumiaji wanasema hii inafunction zaidi kwa mwanamke na inategemea na saikolojia ya kichwa na mwili wake wakati anaivuta
haaaaaaaaaahhhhhhhhhh yule ni jungu moja na wwe !ptu!Ha haaaaa nikija mniandalie cha mindu!
fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNasmoke na mume, mambo ni fireeee
Kweli ni fire. Unaenjoy sana kama wavuta na mumeNasmoke na mume, mambo ni fireeee
Nimehangaika nae sana bila mafanikio, wataalamu wanasema imeshamuingia sana kiasi kwamba ni vigumu kuacha, ni ulevi wake anaoupenda hata hivyoHii kitu haimfai kila mtu...mshauri aache. Tena hali yako ya kimaisha ikiwa haieleweki ndio mbaya zaidi.