Bangi ni mbaya sana

Bangi ni mbaya sana

mwanzo 1: 31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.

bangi siyo mbaya ila ni namna gani unavyoitumia ndo inakua mbaya kwako, wewe jaribu kula maandazi kama 50 hivi ndo utajua ngano ni nzuri au mbaya


ahahhahaa [HASHTAG]#ulaaniwe[/HASHTAG]
 
Demi keshasema. Atakuwepo mwingine tena. Ila kweli kitu hakiwezi kuwa kibaya kama hakijawahi kukufanya vibaya. Ndo mimi na wewe sasa. Siwezi ina ubaya wake kwa kweli. Mara chache nilizovuta nimeenjoy.
Wakati flani kaka yangu alikuwa akivutia ndani ,ule moshi wake nilikuwa najihisi nimekuwa tofauti , kichwa changu ilikuwa kimeingiliwa na kilevi ambacho sio cha kawaida. Kaka yangu ana mawazo ya maendeleo sana lakini yy mwenyewe ukiangalia maisha yake ni hopeless kwakweli, anyway ni ulevi na ni maamuzi na utashi wa mtu mwenyewe.

NB; bangi ni miongoni mwa dawa za kulevya
 
Wakati flani kaka yangu alikuwa akivutia ndani ,ule moshi wake nilikuwa najihisi nimekuwa tofauti , kichwa changu ilikuwa kimeingiliwa na kilevi ambacho sio cha kawaida. Kaka yangu ana mawazo ya maendeleo sana lakini yy mwenyewe ukiangalia maisha yake ni hopeless kwakweli, anyway ni ulevi na ni maamuzi na utashi wa mtu mwenyewe.

NB; bangi ni miongoni mwa dawa za kulevya
Sawa ila huwezi ifananisha na cocaine ama heroine.
 
Kwa bangi mie mwenyewe hapana aiseeeee kama inaongeza nyege kwenye mitanange kama asemavyo mzigua acha wafaidi tu
yeah acha wafaidi !mie nipo tu hapa nawasoma ila moyon ninalia tu kivyangu vyangu !anywys maisha lazima yasonge !
 
hii kitu asikwambie mtu kuna jamaa mmoja kule bush kwetu alikuwa ndo mambo yake kula weed miaka nenda miaka rudi, siunajua mambo ya bush hakuna kubugudhiana na serikali wanakuja wagambo na mtendaji wa kijiji jamaa anawakimbia frsh tu afu ndo nitolee ivo
jamaa akahamishia makazi yake poriiiiiii kabisa almost 3km ndo unaanza kuingia kwenye makazi ya watu, kule bush jamaa akajenga nyumba yake haina mlango wala dirisha, baadhi ya watu wakashangaa huyu jamaa nyumba yake vip!!!!!

yote tisa kumi sasa wakati anaezeka mlango akaweka juu ya paa, na ukumbuke nyumba ya tope yaani miti mixer tope ukishuka kuingia ndani lazima uwe uko fresh miguu manake unakuwa kama unaruka ivi kutoka juu ya paa kuja chini lakini ndo unaingia ndani
INA STIMU ZAKE WEWE ACHA TU
 
Hii kitu haimfai kila mtu...mshauri aache. Tena hali yako ya kimaisha ikiwa haieleweki ndio mbaya zaidi.
Nimehangaika nae sana bila mafanikio, wataalamu wanasema imeshamuingia sana kiasi kwamba ni vigumu kuacha, ni ulevi wake anaoupenda hata hivyo
 
Back
Top Bottom