Nina mifugo yangu nataka niboreshe mabanda yao na kufuga kisasa zaidiWe unataka hizo ufanyie nini...toa mchanganuo
Kabisa mkuu, wengi wanaamini kujenga nyumba ndiyo kutoka kimaisha. Kijana kama una ndoto za biashara anza kwanza huko,weka cashflow ikae vizuri nyumba utajenga hata kwa mwezi tu.Uza nyumba upate huo mtaji
Mpaka sasa hivi kwa kukadiria wanaingiza kiasi gani kwa siku..Nina mifugo yangu nataka niboreshe mabanda yao na kufuga kisasa zaidi
Ni kweli mkuu tathmini ni muhimuKabisa mkuu, wengi wanaamini kujenga nyumba ndiyo kutoka kimaisha. Kijana kama una ndoto za biashara anza kwanza huko,weka cashflow ikae vizuri nyumba utajenga hata kwa mwezi tu.
Nakumba kuna ndugu nilikutana nae akawa anajuta kujenga nyumba akiwa na umri mdogo huku akiteseka na namna ya kuapata hela za mtaji.
Wewe "PHIMBI" kulikuwa na haja gani ya kumjibu ikiwa huna majibu? Shenzi kabisaSubiri wadau wanakuja
Mpaka sasa hivi kwa kukadiria wanaingiza kiasi gani kwa siku..
Wanachukua muda sana kukua....au kama unauwezo nunua incubator uwe unatotoresha na kuuza hii inaweza kukupa hatua nyingineKwa sababu ni wa kienyeji nawatoa kwa awamu sio siku
Na hiyo ndio ilikuwa plan yangu kuboresha mabanda na kununua incubator.... Then sihofii kurudisha sababu sina chanzo kimoja cha shillingi.....Wanachukua muda sana kukua....au kama unauwezo nunua incubator uwe unatotoresha na kuuza hii inaweza kukupa hatua nyingine
Naamini una maono fulani kwa biashara.. Lakini unataka kwenda kasi ya ajabu au haraka sana . Unataka 50 mln, unataka kuwekeza kwenye biashara gani? Mfano benki hata wangekuwa tayari kukupa huo mkopo , je biashara yako italipa mkopo pamoja na riba .Habari ndugu zangu.
Nina wazo la Biashara ambayo inahitaji Fedha kwa ajili ya uwekezaji. Benk Zilizo nyingi Zinataka Uwe na biashara ambayo imedumu zaidi ya miezi sita, Lakini Mimi s nina nyumba sina Biashara ambayo benki wanataka iwe imedumu zaidi ya miezi sita,naweza kuchukulia mkopo kutokana na hio nyumba. kama kuna taasisi binafsi hata Bank ambazo bado wanakubali kuchukua nyaraka za Nyumba ili nipate Mikopo nakuombeni Ushirikiano wenu wa hali na mali.
Asanteni .
Ni wazo zuri tunashea uzoefu piaNa hiyo ndio ilikuwa plan yangu kuboresha mabanda na kununua incubator.... Then sihofii kurudisha sababu sina chanzo kimoja cha shillingi.....
Leo umenifanya nifunguke hapa dah
Yeah ni kweli nakubaliNi wazo zuri tunashea uzoefu pia
Wengi tunapenda biashara zinazoleta coin kwa sikuYeah ni kweli nakubali
Exactly hata me napenda hizo piaWengi tunapenda biashara zinazoleta coin kwa siku
Nikija kupata nafasi nitakuja nijifunze kitu kwenye biashara yako.Exactly hata me napenda hizo pia
KaribuNikija kupata nafasi nitakuja nijifunze kitu kwenye biashara yako.
Asante,nitakaribia...Karibu
Cc sponsorEeeeeh nilivyooona jina nilijua ni ex wangu... Baada ya kusoma kichomo ndani kumbe sie lol
Yaani hili wazo langu sitaweza kulifanyia kazi kama Kiasi hicho cha Fedha hakiko-Hili wazo ni lazima niwe na Fedha ya mtaji kuanzia milioni hamsini na kuendelea,Kodi za majengo,leseni na T.R.A sio tatizo kwa Sababu ni lazima ipeanweNaamini una maono fulani kwa biashara.. Lakini unataka kwenda kasi ya ajabu au haraka sana . Unataka 50 mln, unataka kuwekeza kwenye biashara gani? Mfano benki hata wangekuwa tayari kukupa huo mkopo , je biashara yako italipa mkopo pamoja na riba .
Chukulia mfano .. 50 milioni... riba around 10 milion ...riba pengine kwa mkopo miaka mitatu , utarudisha wastani wa tsh 1,666,666 assuming on flat basis... Sasa kama gharama za biashara kodi ya pango, mishahara, jiji , mapata, osha, fire, leseni , mapato TRA na nk -- si chini ya million 3- 3, 500,000 ... Sijajua biashara yako.. Lakini hizi ni hela nyingi , kuweza kurudisha na bado , ukabakiwa na mtaji. Benki watakataa .. Cha msingi anzia mahali padogo, jenga mtaji na utaratibu wa kukopesheka, baada ya muda utapata hizo hela... Anzia kwenye vikundi vidogo vidogo vinavyotoa hela, bila dhamana kama vicoba... lakini ufungue akaunti ya benki..