Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Uza nyumba upate huo mtaji
Kabisa mkuu, wengi wanaamini kujenga nyumba ndiyo kutoka kimaisha. Kijana kama una ndoto za biashara anza kwanza huko,weka cashflow ikae vizuri nyumba utajenga hata kwa mwezi tu.

Nakumba kuna ndugu nilikutana nae akawa anajuta kujenga nyumba akiwa na umri mdogo huku akiteseka na namna ya kuapata hela za mtaji.
 
Ni kweli mkuu tathmini ni muhimu
 
Wanachukua muda sana kukua....au kama unauwezo nunua incubator uwe unatotoresha na kuuza hii inaweza kukupa hatua nyingine
Na hiyo ndio ilikuwa plan yangu kuboresha mabanda na kununua incubator.... Then sihofii kurudisha sababu sina chanzo kimoja cha shillingi.....

Leo umenifanya nifunguke hapa dah
 
Habari ndugu zangu.
Nina wazo la Biashara ambayo inahitaji Fedha kwa ajili ya uwekezaji. Benk Zilizo nyingi Zinataka Uwe na biashara ambayo imedumu zaidi ya miezi sita, Lakini Mimi s nina nyumba sina Biashara ambayo benki wanataka iwe imedumu zaidi ya miezi sita,naweza kuchukulia mkopo kutokana na hio nyumba. kama kuna taasisi binafsi hata Bank ambazo bado wanakubali kuchukua nyaraka za Nyumba ili nipate Mikopo nakuombeni Ushirikiano wenu wa hali na mali.

Asanteni .
Naamini una maono fulani kwa biashara.. Lakini unataka kwenda kasi ya ajabu au haraka sana . Unataka 50 mln, unataka kuwekeza kwenye biashara gani? Mfano benki hata wangekuwa tayari kukupa huo mkopo , je biashara yako italipa mkopo pamoja na riba .
Chukulia mfano .. 50 milioni... riba around 10 milion ...riba pengine kwa mkopo miaka mitatu , utarudisha wastani wa tsh 1,666,666 assuming on flat basis... Sasa kama gharama za biashara kodi ya pango, mishahara, jiji , mapata, osha, fire, leseni , mapato TRA na nk -- si chini ya million 3- 3, 500,000 ... Sijajua biashara yako.. Lakini hizi ni hela nyingi , kuweza kurudisha na bado , ukabakiwa na mtaji. Benki watakataa .. Cha msingi anzia mahali padogo, jenga mtaji na utaratibu wa kukopesheka, baada ya muda utapata hizo hela... Anzia kwenye vikundi vidogo vidogo vinavyotoa hela, bila dhamana kama vicoba... lakini ufungue akaunti ya benki..
 
Na hiyo ndio ilikuwa plan yangu kuboresha mabanda na kununua incubator.... Then sihofii kurudisha sababu sina chanzo kimoja cha shillingi.....

Leo umenifanya nifunguke hapa dah
Ni wazo zuri tunashea uzoefu pia
 
mm mtu mwenye busara namheshimu sana,
ku handle pressure ya member wa jf waliobeba mbegu za mapapai na maganda ya karanga kichwani bila ku fume inahitaj mtu mwenye courage sana.

M nakupongeza tuu kwa hilo,
 
Naamini una maono fulani kwa biashara.. Lakini unataka kwenda kasi ya ajabu au haraka sana . Unataka 50 mln, unataka kuwekeza kwenye biashara gani? Mfano benki hata wangekuwa tayari kukupa huo mkopo , je biashara yako italipa mkopo pamoja na riba .
Chukulia mfano .. 50 milioni... riba around 10 milion ...riba pengine kwa mkopo miaka mitatu , utarudisha wastani wa tsh 1,666,666 assuming on flat basis... Sasa kama gharama za biashara kodi ya pango, mishahara, jiji , mapata, osha, fire, leseni , mapato TRA na nk -- si chini ya million 3- 3, 500,000 ... Sijajua biashara yako.. Lakini hizi ni hela nyingi , kuweza kurudisha na bado , ukabakiwa na mtaji. Benki watakataa .. Cha msingi anzia mahali padogo, jenga mtaji na utaratibu wa kukopesheka, baada ya muda utapata hizo hela... Anzia kwenye vikundi vidogo vidogo vinavyotoa hela, bila dhamana kama vicoba... lakini ufungue akaunti ya benki..
Yaani hili wazo langu sitaweza kulifanyia kazi kama Kiasi hicho cha Fedha hakiko-Hili wazo ni lazima niwe na Fedha ya mtaji kuanzia milioni hamsini na kuendelea,Kodi za majengo,leseni na T.R.A sio tatizo kwa Sababu ni lazima ipeanwe
 
Back
Top Bottom