Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

zamboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
364
Reaction score
180
Habari wanajamiii wenzangu? Nataka kufungua account ambayo ntakua na deposit akiba ya pesa kila mwezi, sasa naombeni ushauri wenu kua bank ipi ni nzuri kwa kufanya hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Fixed nenda KCB interest kubwa saving nenda Barclays above Laki mbili ni free haichajiwi
 
Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
 
Saf sana kwakuliona hilo vijana wengi wanapata pesa nyingi kama izo mwisho wa siku wanakuruka kufungua miradi ambayo haina tija kwasababau to wanahela nyingi wakizani hazitakwisha and the day wanabaki hata pesa ya kula hawana

Weka kwanza pesa zako bank then tumia kama mwezi mmoja omba ushauri, hata hapa Jf kuna vichwa wengi watakusaidia nibiashara gani itakufaaa.

All the best. (Usikubali ukaingia kwenye forex).
 
Asante kw
 
Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Ningekushauri ufungue account ya dollars. Interest za mabenk zinakuwa nzuri pale unapoweka kwa muda mrefu. Miezi 2 haizid 4% ina maana unaweza kupata elf 80000 bado wakate kodi
 
K
Ningekushauri ufungue account ya dollars. Interest za mabenk zinakuwa nzuri pale unapoweka kwa muda mrefu. Miezi 2 haizid 4% ina maana unaweza kupata elf 80000 bado wakate kodi
Kiongozi nisaidie kidogo iyo acc ya dollar inakuwaje.
 
Bora uipeleke kwenye soka la hisa fixed account miyeyusho
Fixed account unakuwa na uhakika utapata pesa yako na faida asilimia fulani..
Hiyo soko la hisa unakua hauna uhakika muda unaohiaji hizo ela unaweza kuuza hisa kwa mili15 wakati wwe ulinunua mil20..

Usimshauri ovyo mwenzio,usikute weww huna hisa hata ya vodacom unajifanya unajua
 
Wengi wananunua gari hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…