Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Mkuu nakushauri usinunue hisa kwa huu mdororo wa uchumi, ni kipindi kizuri nunua dollar, shillings inaporomoka dhamani so dollar itaendelea kupanda dhamani, hivyo kila ongezeko litakalopatikana uwe unatoa kama faida kwako, pili nakushauri nunua kiwanja kilichopimwa na hati zote kiwe sehemu nzuri, muda wowote utaweza uza na kwa bei ya faida.
Mkuu iyo ya kiwanja ni nzuri sana ila sa ivi watu hawana pesa aisee.
 
Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Vipi kuhusu gharama za hiyo account
 
Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Good idea
 
Mkuu ongeza kidogo nikuuzie house of high standards!
Fixed account deposit zina interest nzuri ukideposit huge amounts e.g 50mil+ hapo kidogo unaweza ona faida.
Niliweka 8mil on fixed account for a year nikapata tsh 180,000/=only (it was crdb)
Buy assets for secured future returns.
 
Iilezee kidogo hiyo nyumba tafadhali.
 
Iilezee kidogo hiyo nyumba tafadhali.
OK..!
Nyumba iko Banana ( ukonga)
Ni nyumba ya kisasa ina
1. Three bedrooms ( one master)
2. Areas covered 1500square meter (34×34)
3. Ina fence, maji na umeme
4. Kitchen, stores, public toilet ( inside & outside)
5. Ina jipsum nyumba nzima, plus tiles
6. All necessary Documents available.

N.b ni nyumba ambayo ipo complete no need of finishing/maintenance!
And you allowed to pay on instalment terms!
 
Maelezo mazur sana mkuu haya tupe bei.
 
Mkuu ebu njoo inbox kwa maelezo zaidi
 
Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
duuu aseee ndugu ushauri wako hata mimi nimeupenda nikipata hela lazma niiweke katka mfumo wa dollar
 
Saf sana kwakuliona hilo vijana wengi wanapata pesa nyingi kama izo mwisho wa siku wanakuruka kufungua miradi ambayo haina tija kwasababau to wanahela nyingi wakizani hazitakwisha and the day wanabaki hata pesa ya kula hawana

Weka kwanza pesa zako bank then tumia kama mwezi mmoja omba ushauri, hata hapa Jf kuna vichwa wengi watakusaidia nibiashara gani itakufaaa.

All the best. (Usikubali ukaingia kwenye forex).
Nimepapenda hapo ulipomshauri asikubali kuingia kwenye forex [emoji3]
 
7ceec0b544b6984369a5bc4b9cb6abea.jpg

Access Bank hizo ndizo let zao kwa mwezi July nafikili lkn juzi nimepata sticker yao mpya naona kuna punguzo la km 2% ukilinganisha na hii ya mwezi July . Nimejaribu kuitafuta kwenye email lkn siioni. Sasa sikia mkuu kama huyo pesa unaiweka fixed ili upate faida, means fixed ndiyo Iwe km biashara yako achana na hilo wazo, lkn km huna pa kuiweka wakati unatafakali nini cha kufanya bas all the best. Hizi acc za fixed zinalipa sana km ukiweza kudepost kwa mwezi moja moja unachukua faida then unaomba kudepost tena. Maana asilimia ya mwezi ni 8.2% while asilimia ya mwaka ni 12%. Si ujinga huo
 
Hapo sasa kiongozi tutafutane nikuelekeze kiundani au nipe whats app number nikutumie Kitabu kinachoelezea Bitcoin ujifunze kiundani.
 
Back
Top Bottom