Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Naona haujafikiria gharama ya kuendesha account ya fedha za kigeni pia rate za bank sio rafik kabisa, competitive exchange rate za madukani posta na k,koo ni nzur kuliko bank, Mimi nanunua dola madukani posta naziweka home then nikipata rate nzur nachange japo no risk lakin benk usitegemee faida japo salama
inategemea na bank mimi nina account STANBIC ya euro...akaunti ikiwa na zaidi ya uero 150 hawaichaji chochote...inachotakiwa uhakikishe haipungui hiyo 150 euro
 
No no no. Sinawahi kushuhudia ushauri wa pumba kama huu toka nijiunge Jf
Hahahah,nikwel,ushaur mbov kabsa,watu kama hao si ndo wale watu wa mitandaon mambo ya ujasiriamali,ful kudanganyana eka 1 ta matikit faida mil20,hahahah
 
Nadhani hiyo ya kiwanja nayo ni ya vipindi tu kama hisa.

Kuna jamaa yangu amewekeza kwa mtindo huo, sasa hivi anahaha kuuza atatue suala lake, hizo ofa zinazokuja ni nusu ya matarajio, anaona mauzauza tu.
Hii haitaki kuwekeza ili upate hela ya haraka haraka, hii ni kwa uwekezaji wa muda mrefu usio hitaji cash ya haraka
 
Nenda acces,wale jamaa walinitajirisha,maana wana rate za kuvutia wateja,hahaha,mi niliweka fungu flan rate ilikua 14.7%,hahahah,ila zina flactuate sana,..kuna siku ilifika 16,hahah,nkasema kwel ushindan ni mkali,bank znachanganyikiwa,nilikua nkiingia bank jins navyopapatikiwa had naona noma
 
Hii haitaki kuwekeza ili upate hela ya haraka haraka, hii ni kwa uwekezaji wa muda mrefu usio hitaji cash ya haraka
Sijakuelewa mkuu.

Huyu Jamaa yangu kila akipata pesa kiasi kikubwa ananunua mashamba/viwanja, kwa zaidi ya miaka kumi na kitu sasa.

Sasa hivi anahitaji kiasi kikubwa cha fedha afanye kazi fulani kubwa tu, kachagua shamba/kiwanja kile prime kuliko vyote, ni mwaka sasa hakuna ofa ya maana inayokuja, anatarajia 80, ofa zinakuja 50, tena kwa istalments.

Sasa unaposema pesa ya haraka sijui unamaanisha nini wakati yeye alifanya hivyo ili ikitokea haja/kazi basi asukume mzigo apige kazi zake.
 
Sawa mkuu,Nilikua na A/C BOI(Bank of India) wao walikua wanakata mkuu.
Ni kwel mkuu maintenance fee za account za kigeni ni kubwa kweli kweli kama unataka Toa mpunga mrefu unaweza wehuka kichaa mkuu fikiria mtu ambae anataka Toa dollar 100000 charges ni dollar1000 huu ni zaidi ya uhalifu
 
Sijakuelewa mkuu.

Huyu Jamaa yangu kila akipata pesa kiasi kikubwa ananunua mashamba/viwanja, kwa zaidi ya miaka kumi na kitu sasa.

Sasa hivi anahitaji kiasi kikubwa cha fedha afanye kazi fulani kubwa tu, kachagua shamba/kiwanja kile prime kuliko vyote, ni mwaka sasa hakuna ofa ya maana inayokuja, anatarajia 80, ofa zinakuja 50, tena kwa istalments.

Sasa unaposema pesa ya haraka sijui unamaanisha nini wakati yeye alifanya hivyo ili ikitokea haja/kazi basi asukume mzigo apige kazi zake.
Hapa nina maana usije wekeza kwny ardhi halafu ukipata shida au uhitaji wa hela ndiyo ufikirie kukiuza ili uweze tatua shida, hapa namaanisha nunua ardhi ukiona value imepanda kiasi cha kukuridhisha bila msukumo wa shida uza, ukiuza kwa ajili ya shida wateja watakupangia sana bei
 
Ni kwel mkuu maintenance fee za account za kigeni ni kubwa kweli kweli kama unataka Toa mpunga mrefu unaweza wehuka kichaa mkuu fikiria mtu ambae anataka Toa dollar 100000 charges ni dollar1000 huu ni zaidi ya uhalifu
Umesema ukweli mtupu mkuu,nilikuja kuifunga hio A/C baada ya kuona hizo charges ni kubwa sana kuliko hata GAIN ninayoipata kutokana flactuation ya USD.
 
Mkuu ongeza kidogo nikuuzie house of high standards!
Fixed account deposit zina interest nzuri ukideposit huge amounts e.g 50mil+ hapo kidogo unaweza ona faida.
Niliweka 8mil on fixed account for a year nikapata tsh 180,000/=only (it was crdb)
Buy assets for secured future returns.
8mil upate 180,si kwel,mi naweka sana fixed mkuu,ngoja tupige mahesab tuone,.
8mil× x/100/12. ×12=180000 tafta x hapo tujue crdb rate yao ngap.,,hapa nmepata 2.25,..haiwezekan hela hii zaid ya 5mil upewe rate ya 2.25,......mi naweka sana fixed mkuu,hapa umeniongopea
 
Umesema ukweli mtupu mkuu,nilikuja kuifunga hio A/C baada ya kuona hizo charges ni kubwa sana kuliko hata GAIN ninayoipata kutokana flactuation ya USD.
Haha usithubutu kuna jamaa niliwahi Fanya nao kazi kuna pesa walikuwa wanataka withdraw yani walipoambiwa charges sura zilibadilika palepale wakaishia tukana tu matusi
 
Haha usithubutu kuna jamaa niliwahi Fanya nao kazi kuna pesa walikuwa wanataka withdraw yani walipoambiwa charges sura zilibadilika palepale wakaishia tukana tu matusi
Hahah hopefully wengine wanaopanga kufungua USD accounts watajifunza kitu.

Wahoji vzr 'other hidden costs' related to hizo accounts kabla hawajaja kulia kilio cha mbwa mwizi,hahah.

Happy holiday mkuu.
 
Back
Top Bottom