Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Mkuu ongeza kidogo nikuuzie house of high standards!
Fixed account deposit zina interest nzuri ukideposit huge amounts e.g 50mil+ hapo kidogo unaweza ona faida.
Niliweka 8mil on fixed account for a year nikapata tsh 180,000/=only (it was crdb)
Buy assets for secured future returns.
mkuu ulitaka kusema million moja laki nane au?
 
jaribu kuulizia NBC, account ya malengo mkuu. Hii huwa ni account ya fixed then waweza weka kwa miezi kuanzia sita.
 
m
7ceec0b544b6984369a5bc4b9cb6abea.jpg

Access Bank hizo ndizo let zao kwa mwezi July nafikili lkn juzi nimepata sticker yao mpya naona kuna punguzo la km 2% ukilinganisha na hii ya mwezi July . Nimejaribu kuitafuta kwenye email lkn siioni. Sasa sikia mkuu kama huyo pesa unaiweka fixed ili upate faida, means fixed ndiyo Iwe km biashara yako achana na hilo wazo, lkn km huna pa kuiweka wakati unatafakali nini cha kufanya bas all the best. Hizi acc za fixed zinalipa sana km ukiweza kudepost kwa mwezi moja moja unachukua faida then unaomba kudepost tena. Maana asilimia ya mwezi ni 8.2% while asilimia ya mwaka ni 12%. Si ujinga huo
mkuu hiyo asilimia 8.2 kwa milioni 20 sio mbaya kula kila baada ya siku 30
kumbuka hapo pesa yako yote bado ipo
huumizi kichwa
bado unafikiria nini vha kufanya.
ni bora akaweka fixed kama kweli wanatoa hiyo 8.2% ya 20M per month
 
8.2 Kwa mwezi benki gani?
 
8.2 Kwa mwezi benki gani?
au nimesoma vibaya hiki kipeperushi? tena sio 8.2 ni 10%

7ceec0b544b6984369a5bc4b9cb6abea.jpg

Access Bank hizo ndizo let zao kwa mwezi July nafikili lkn juzi nimepata sticker yao mpya naona kuna punguzo la km 2% ukilinganisha na hii ya mwezi July . Nimejaribu kuitafuta kwenye email lkn siioni. Sasa sikia mkuu kama huyo pesa unaiweka fixed ili upate faida, means fixed ndiyo Iwe km biashara yako achana na hilo wazo, lkn km huna pa kuiweka wakati unatafakali nini cha kufanya bas all the best. Hizi acc za fixed zinalipa sana km ukiweza kudepost kwa mwezi moja moja unachukua faida then unaomba kudepost tena. Maana asilimia ya mwezi ni 8.2% while asilimia ya mwaka ni 12%. Si ujinga huo
 
Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Unajua bank nyingi wanakata 1% ya USD unayowithdraw?
 
au nimesoma vibaya hiki kipeperushi? tena sio 8.2 ni 10%

umesoma kipeperushi vizuri lakini haujaelewa.... ukiona riba ni asilimia 8 kwa mwezi.. haimaanishi utalipwa asilimia 8 yote.. ila utalipwa 8/100 x hela uliyoiweka fixed kisha unagawanya kwa 12 ... huu ni uhuni ambao bank haikuambiii maana wanajua utaghairi
 
Mkuu nakushauri usinunue hisa kwa huu mdororo wa uchumi, ni kipindi kizuri nunua dollar, shillings inaporomoka dhamani so dollar itaendelea kupanda dhamani, hivyo kila ongezeko litakalopatikana uwe unatoa kama faida kwako, pili nakushauri nunua kiwanja kilichopimwa na hati zote kiwe sehemu nzuri, muda wowote utaweza uza na kwa bei ya faida.
Nadhani hiyo ya kiwanja nayo ni ya vipindi tu kama hisa.

Kuna jamaa yangu amewekeza kwa mtindo huo, sasa hivi anahaha kuuza atatue suala lake, hizo ofa zinazokuja ni nusu ya matarajio, anaona mauzauza tu.
 
Saf sana kwakuliona hilo vijana wengi wanapata pesa nyingi kama izo mwisho wa siku wanakuruka kufungua miradi ambayo haina tija kwasababau to wanahela nyingi wakizani hazitakwisha and the day wanabaki hata pesa ya kula hawana

Weka kwanza pesa zako bank then tumia kama mwezi mmoja omba ushauri, hata hapa Jf kuna vichwa wengi watakusaidia nibiashara gani itakufaaa.

All the best. (Usikubali ukaingia kwenye forex).
Japokuwa mimi ni fan mzuri wa Man city kwa hiyo nikiiona picha ya Pogba naona mahasimu wangu waliuziwa cheni ya bandia kwa pesa nyingi 🙂🙂 Ngoja niende kwenye kuchangia

Kuna kijana fulani alipata deal la kwenda ughaibuni kufanya part time job kwa karbia mwez na lengo la hao foreigner lilikuwa ni kumuinua kiuchumi kutokana na juhudi zake kwenye masomo na wakamuona yupo smart, hivyo wakahaidiana kula kulala itakuwa juu yao ila salary yake watakuwa wakiiaccumulate mpaka mwisho wa mkataba wammwekee yote kwenye akaunti basi na ikawa kama walivyohaidiana.
Akiwa ughaibuni alikuwa na mpenz wake waliokuwa hawana mawasiliano mazuri, aliposikia jamaa yupo nje mawasiliano yakaiva jamaa akawa anadanganya ana matatizo nyumbani akawa anapewa pesa kidogo kutoka kwenye salary basi yeye akawa anamtumia msichana ( vijana wanaita demu) afanye mpango wa kupanga room nzuri anunue vitu vyote vya ndani ili akirudi waishi wote, akatekeleza kama alivyoambiwa.
Swali: Hivi kuna mwanamke yoyote ambaye hata kama hakupendi/humvutii ataona pesa au kunusa harufu ya pesa akaacha kukuganda?
Mwishowe mkataba ukaisha akarudi Tz au nchi ya Vi-wonder kama Mh wetu anavyoiita na pesa yake kwenye akaunti around 25mil wakaanza kumake a living upon that money mda ukaisha wakaweka mipango, wakafungua biashara ambayo inahitaji large capital outlay but on the other side ina return ndogo (Hatuwezi tukasema ina profit ndogo au kubwa kwa sababu bado wanastruggle kurecover Fixed na day to day costs) na hali ya biashara in long term haitowalipa.

Maswali nnaoyojiuliza: Hivi wale foreigner wakija kuangalia maendeleo yake watamwelewa vipi?

Somo:
  • Refer kwenye post niliyoquote
  • Ukiwa na pesa/harufu ya pesa kila mwanamke ataigiza kukupenda
 
umesoma kipeperushi vizuri lakini haujaelewa.... ukiona riba ni asilimia 8 kwa mwezi.. haimaanishi utalipwa asilimia 8 yote.. ila utalipwa 8/100 x hela uliyoiweka fixed kisha unagawanya kwa 12 ... huu ni uhuni ambao bank haikuambiii maana wanajua utaghairi
asante!
siwez weka milion zangu kama ni hivyo
 
Umenifungua akili sana mkuu sijawahi kuwaza kitu kama hiki, salute kwako !
Naona haujafikiria gharama ya kuendesha account ya fedha za kigeni pia rate za bank sio rafik kabisa, competitive exchange rate za madukani posta na k,koo ni nzur kuliko bank, Mimi nanunua dola madukani posta naziweka home then nikipata rate nzur nachange japo no risk lakin benk usitegemee faida japo salama
 
Back
Top Bottom