Soko la hisa
1. Sio azima ulipwe dividend, inategemea na maamuzi ya AGM
2. Sio lazima hisa ziongezeke value. Zinaweza kushuka (Angalia NBC, Precision na futalilia hata Vodacom itakuwa hivyo hivyo). Makampuni yakiwa stage fulani ya ukuaji hisa zinakuwa sio dili. Hisa zinafaa kunua wakati kampuni bado inaukuaji mkubwa
Kwa hli ya sasa TZ bora fixed deposit ila unaweza kupata rate mnzuri zadi kwa kutumia fund managers ambao wanakusanya hela nyingi na ku-negotiate vizurir zaidi.
Check with Unit Trust vile vile