laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
inategemea na bank mimi nina account STANBIC ya euro...akaunti ikiwa na zaidi ya uero 150 hawaichaji chochote...inachotakiwa uhakikishe haipungui hiyo 150 euroNaona haujafikiria gharama ya kuendesha account ya fedha za kigeni pia rate za bank sio rafik kabisa, competitive exchange rate za madukani posta na k,koo ni nzur kuliko bank, Mimi nanunua dola madukani posta naziweka home then nikipata rate nzur nachange japo no risk lakin benk usitegemee faida japo salama