Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zamboni pitia hizi link
Saf sana kwakuliona hilo vijana wengi wanapata pesa nyingi kama izo mwisho wa siku wanakuruka kufungua miradi ambayo haina tija kwasababau to wanahela nyingi wakizani hazitakwisha and the day wanabaki hata pesa ya kula hawana
Weka kwanza pesa zako bank then tumia kama mwezi mmoja omba ushauri, hata hapa Jf kuna vichwa wengi watakusaidia nibiashara gani itakufaaa.
All the best. (Usikubali ukaingia kwenye forex).[/QUOTE Asante kwa ushauri.
Asante ndugu inaweza kuwa kiasi gani kwa muda wa miezi mitatu au sita.azania bank wana rate nzuri
Ningekushauri ufungue account ya dollars. Interest za mabenk zinakuwa nzuri pale unapoweka kwa muda mrefu. Miezi 2 haizid 4% ina maana unaweza kupata elf 80000 bado wakate kodiJamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Kiongozi nisaidie kidogo iyo acc ya dollar inakuwaje.Ningekushauri ufungue account ya dollars. Interest za mabenk zinakuwa nzuri pale unapoweka kwa muda mrefu. Miezi 2 haizid 4% ina maana unaweza kupata elf 80000 bado wakate kodi
Fixed account unakuwa na uhakika utapata pesa yako na faida asilimia fulani..Bora uipeleke kwenye soka la hisa fixed account miyeyusho
No no no. Sinawahi kushuhudia ushauri wa pumba kama huu toka nijiunge JfBora uipeleke kwenye soka la hisa fixed account miyeyusho
Wengi wananunua gari hahahaSaf sana kwakuliona hilo vijana wengi wanapata pesa nyingi kama izo mwisho wa siku wanakuruka kufungua miradi ambayo haina tija kwasababau to wanahela nyingi wakizani hazitakwisha and the day wanabaki hata pesa ya kula hawana
Weka kwanza pesa zako bank then tumia kama mwezi mmoja omba ushauri, hata hapa Jf kuna vichwa wengi watakusaidia nibiashara gani itakufaaa.
All the best. (Usikubali ukaingia kwenye forex).
wewe ukikopa benki mil 5 unarudisha mil14...Yaani hela ikae mwaka mzma afu upate 2mil kha