Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.K Kiongozi nisaidie kidogo iyo acc ya dollar inakuwaje.
Umenifungua akili sana mkuu sijawahi kuwaza kitu kama hiki, salute kwako !Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
Tena michuruziko kabisa!Bora uipeleke kwenye soka la hisa fixed account miyeyusho
Mdanganye tu; nachukia napoona mtu anatoa ushauri wa kimuangusha mwenzake! Hauna tofauti na watu wa forex mbuz wewe...Bora uipeleke kwenye soka la hisa fixed account miyeyusho
Kumbe umeliona tatizo LA wasomi walio wengi.Yaani hela ikae mwaka mzma afu upate 2mil kha
ACCESS BankJamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Jamani kuna ka hela kangu kama 20mil nimekapata ghafla... Wakati nafikiria cha kufanya nimeona nibora niiwekwe bank kwanza. Mwenye kujua bank yenye interest nzuri anisaidie ili niweze kupata kijifaida wakati naendelea kutafakari.
Hii nimeipendaKila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
hahahaNo no no. Sinawahi kushuhudia ushauri wa pumba kama huu toka nijiunge Jf
Bora uipeleke kwenye soka la hisa fixed account miyeyusho
Soko la hisa
1. Sio azima ulipwe dividend, inategemea na maamuzi ya AGM
2. Sio lazima hisa ziongezeke value. Zinaweza kushuka (Angalia NBC, Precision na futalilia hata Vodacom itakuwa hivyo hivyo). Makampuni yakiwa stage fulani ya ukuaji hisa zinakuwa sio dili. Hisa zinafaa kunua wakati kampuni bado inaukuaji mkubwa
Kwa hli ya sasa TZ bora fixed deposit ila unaweza kupata rate mnzuri zadi kwa kutumia fund managers ambao wanakusanya hela nyingi na ku-negotiate vizurir zaidi.
Check with Unit Trust vile vile
good advice, ...Angalia NBC... hapa ulimaanisha NMB? not sure NBC ipo huko?
Sorry yes, NMB