Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

INATEGEMEANA NA BENKI, TEMBELEA BENKI ZOTE HALAFU KUTANA NA MANAGER UFANYE NAYE MAZUNGUMZO. ILA FNB pale sinza ndio kidogo naona ina interest nzuri ila jaribu kuzunguka.
Kwahiyo yawezekana FNB Arusha ikawa na interest kidogo kuliko FNB Sinza!!?
 
Kwa mm nilizunguka benki karibu sita lkn nilikuja kuona NMB is the best kwa fixed account kwan wanaruhusu kufix hata kwa single month na kwa hela yako ww kwa mwezi utakua na interest ya 4% ambayo ni zaidi ya Tsh 800,000 kama sijakosea kitu ambacho sio haba...ni mshahara wa mtu huo.
Kama ni hivo si uiweke bank upate hizo interest pa month,
 
Mkuu nakushauri usinunue hisa kwa huu mdororo wa uchumi, ni kipindi kizuri nunua dollar, shillings inaporomoka dhamani so dollar itaendelea kupanda dhamani, hivyo kila ongezeko litakalopatikana uwe unatoa kama faida kwako, pili nakushauri nunua kiwanja kilichopimwa na hati zote kiwe sehemu nzuri, muda wowote utaweza uza na kwa bei ya faida.

Kwenye kiwanja umemshauri vizuri
 
wakuu nisaidieni kidogo!! NBC walinitumia meseji sijajua inakuwaje!!

(Mpendwa mteja, tunafurahi kukujulisha kuwa riba ya mwaka 2017 itawekwa kwenye akaunti yako tarehe 31 Desemba 2017. Asante kwa kutumia huduma za NBC.)
 
1. Fungua akaunti ya dola au
2. Nunua hisa za makampuni ila siyo vodacom wala airtel
 
K Kiongozi nisaidie kidogo iyo acc ya dollar inakuwaje.
Uko kuna Withholding Tax itakutafuna mkuuu. Kama unataka kupata faida jaribu BOND. Kwy BOND uwa wanatoa asilimia kuanzia 15.56 mpaka 7.5 kwa mwaka na unaweza ukauza kama utakuwa na uhitaji wa pesa yako. Lakini kwy fixed account miyayusho tuuu, alafu Pesa ndogo
 
Kwa mm nilizunguka benki karibu sita lkn nilikuja kuona NMB is the best kwa fixed account kwan wanaruhusu kufix hata kwa single month na kwa hela yako ww kwa mwezi utakua na interest ya 4% ambayo ni zaidi ya Tsh 800,000 kama sijakosea kitu ambacho sio haba...ni mshahara wa mtu huo.
Ukiweka tshs ngapi unapata icho kiasi?
 
Kila bank unaweza kufungua account ya dollars kwa maana hyo pesa uliyonayo uibadili kuwa ktk dollars kisha uiweke. Halafu unakua unacheck dola imepanda kwa kiasi gani halafu unawithdraw dola chache kulingana na mahesabu yako. Ilimradi isishuke au isipungue ile uliyoweka kama mtaji.
ebwana nimefatilia hili wazo, ni idea nzuri mara mia ya kuweka fixed........agiza na beer bill kwangu
 
Kama umebase na fixed ac nenda kwa hizi bank ndogo zinarate nzuri kuliko bank kubwa. Hii ni kwa sababu hazina deposit ya kutosha ya kutoa mikopo kwa wateja wake kitu kichozilazimu zichukue mikopo BOT na kwa sasa treasury bills ambazo kwa sasa zipo 9.5% tofauti na mabank makubwa ambayo yanapata deposit bure toka kwa wateja tena bank kama crdb inakupiga na charges yaan deposit unawapa bure na bado wanakuchaji lakini kunawatanzania wanakubali pengine kwa kutojua thamani ya deposit zao
ASANTE SANA KWA KUTUPANUA MAWAZO, WENGINE TUNA MAWAZO HASI NA KUWEKA PESA AMA KUKOPA KWENYE BENKI NDOGO
 
Kanunue vipande UTT mkuu.. Vipande vinapanda thamani daily.. Na Muda wowote ukihitaji fedha yako unaenda kuuza vipande vyako..
Nifafanulie hapo vizuri mkuu ..UTT naisikiaga juu juu tuu tupe elimu kidogo kwenye hili jambo
 
Kuna mkuu moja hapo juu alitoa wazo la kuwekeza kwenye Banks ndogo nimefatilia kwa kina nimeona ni kweli tena hasa kwa mkuu huyu mwenye 20m kwa bank kama access bank wanatoa riba nzuri sana kwa depositors kila mwezi utakua na uwezo wa kutengeneza hadi 1.6m faida.
 
  • Thanks
Reactions: SMU

1.6m per month?????
 
Back
Top Bottom