Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

INATEGEMEANA NA BENKI, TEMBELEA BENKI ZOTE HALAFU KUTANA NA MANAGER UFANYE NAYE MAZUNGUMZO. ILA FNB pale sinza ndio kidogo naona ina interest nzuri ila jaribu kuzunguka.
Kwahiyo yawezekana FNB Arusha ikawa na interest kidogo kuliko FNB Sinza!!?
 
Kama ni hivo si uiweke bank upate hizo interest pa month,
 

Kwenye kiwanja umemshauri vizuri
 
wakuu nisaidieni kidogo!! NBC walinitumia meseji sijajua inakuwaje!!

(Mpendwa mteja, tunafurahi kukujulisha kuwa riba ya mwaka 2017 itawekwa kwenye akaunti yako tarehe 31 Desemba 2017. Asante kwa kutumia huduma za NBC.)
 
1. Fungua akaunti ya dola au
2. Nunua hisa za makampuni ila siyo vodacom wala airtel
 
K Kiongozi nisaidie kidogo iyo acc ya dollar inakuwaje.
Uko kuna Withholding Tax itakutafuna mkuuu. Kama unataka kupata faida jaribu BOND. Kwy BOND uwa wanatoa asilimia kuanzia 15.56 mpaka 7.5 kwa mwaka na unaweza ukauza kama utakuwa na uhitaji wa pesa yako. Lakini kwy fixed account miyayusho tuuu, alafu Pesa ndogo
 
Ukiweka tshs ngapi unapata icho kiasi?
 
ebwana nimefatilia hili wazo, ni idea nzuri mara mia ya kuweka fixed........agiza na beer bill kwangu
 
ASANTE SANA KWA KUTUPANUA MAWAZO, WENGINE TUNA MAWAZO HASI NA KUWEKA PESA AMA KUKOPA KWENYE BENKI NDOGO
 
Kanunue vipande UTT mkuu.. Vipande vinapanda thamani daily.. Na Muda wowote ukihitaji fedha yako unaenda kuuza vipande vyako..
Nifafanulie hapo vizuri mkuu ..UTT naisikiaga juu juu tuu tupe elimu kidogo kwenye hili jambo
 
Kanunue vipande UTT mkuu.. Vipande vinapanda thamani daily.. Na Muda wowote ukihitaji fedha yako unaenda kuuza vipande vyako..
Nifafanulie hapo vizuri mkuu ..UTT naisikiaga juu juu tuu tupe elimu kidogo kwenye hili jambo
 
Kuna mkuu moja hapo juu alitoa wazo la kuwekeza kwenye Banks ndogo nimefatilia kwa kina nimeona ni kweli tena hasa kwa mkuu huyu mwenye 20m kwa bank kama access bank wanatoa riba nzuri sana kwa depositors kila mwezi utakua na uwezo wa kutengeneza hadi 1.6m faida.
 
Reactions: SMU
1.6m per month?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…