Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

Ukijua kwamba Mark Zuckerberg wa Facebook anaweza kupoteza dola bilioni kumi wiki hii na kuzirudisha ndani ya miezi michache, due to stock market fluctuations, hapo ndipo utajua chumi zetu changa.

Hizo hela zake tu, si za Facebook.
Wacha kumsifu mwanaume mwenzako
 
Wacha kumsifu mwanaume mwenzako
Kwanza kabisa kumsifu mwanamme mwenzangu, kama sifa zinastahili, si hatari wala ajabu.

Labda unaweza kuona hatari au ajabu kama unajishtukia kwamba wewe kumsifu mwanamme mwingine kunapunguza uanaume wako ndiyo unaweza kuona hatari.

Wewe mwenyewe umeweka avatar ya mwanamme mwenzako hapo. Hiyo ni zaidi ya kumsifu. Umemparatia kabisa.

Pili, sijamsifu mtu, nineonesha jinsi chumi zetu zilivyo ndogo kiasi kwamba hazina ya nchi inakuwa ni fedha ambayo mtu mmoja tu anaweza kupoteza na kurudisha katika muda mfupi.

Tatizo kilichosemwa chenye kina hujaona, umeenda kuona jina la mtu.
 
Dangote is richer than BOT's reserve.

Kuna wakati watanzania tusifurahie baadhi ya vitu. Vinatufanya tuonekane kama tuna akili za kimasikini.

Tungekuwa na reserve ya kuanzia $50B ndo tuongee. Ila hiko kiasi ni kidogo mnoooo.
 
Dangote is richer than BOT's reserve.

Kuna wakati watanzania tusifurahie baadhi ya vitu. Vinatufanya tuonekane kama tuna akili za kimasikini.

Tungekuwa na reserve ya kuanzia $50B ndo tuongee. Ila hiko kiasi ni kidogo mnoooo.
Relate with other African countries before talking of Dangote. Did you know the total wealth of the world is only owned by 1%? Then thats when we can talk about Dangote. And the wealth of Dangote is not measured through the total money he has but his investments. Dangote unawezakuta hana hata $1Billion kwenye account yake. Hilo ndomsilo elewa. Rich people dont stay with cash. They always keep it into business
 
We si umetangaziwa we ushaziona izo 5$b au jamaa akikunja sura na kuifanya sereous kama kipindikile cha makinikia mnaona ndio evidence
Kwa taarifa yako sio $5B balini $5.8B. Hiyo ni taarifa kutoka BOT


MONTHLY ECONOMIC REVIEW BANK OF TANZANIA February 2018
PDFhttps://www.bot.go.tz › Publications › M...

Gross official foreign reserves increased to USD. 5,832.0 million at the end of January 2018 from. USD 4,332.4 million at end of January 2017. The reserves ...
 
Singaporean dictator ndio aliinua uchumi wa Singapore, Ghadaffi, Hosni Mubarak, Assad,

Kwa hiyo mzee, Magufuli ni dictator siyo? Naona low-key acceptance. Unasema Magufuli anafanana na Assad, Ghadaffi na Mubaraka!! Kwa hiyo hizi nchi ulizozitaja zimeendelea? Ebu ziangalie kwenye Human Deveopment Index zipo nafasi gani.

Singapore unaitaja bila kuelewa ni namna gani ilivyofika hapa. Unajua kwenye 1960s-1970s tu ilikuwa maskini kama Tanzania? Yew alikuwa visionary: alizingatia zaidi economic growth, alivuta sana expats ili walete world class manpower, aliweka transparency katika mfumo wa ukusanyaji na matumizi ya kodi, alizingatia ufanisi na ubora katika utendaji serikalini, aliweka mfumo imara sana wa kisheria na alizingatia sana sheria, aliwekeza kwenye mfumo bora kabisa wa public education (ndiyo maana hadi leo Nanyang Technological University (NTU) na National University of Singapore (NUS) ni moja ya vyuo bora kabisa duniani: NTU ni cha 11 kwa ubora duniani na NUS ni cha 15). Na human capital ndiyo ilikuwa one of the main drivers of the 'Singapore miracle'. Yew aliwekeza kweli kweli kwenye elimu; na alifanya kila namna kuhakikisha ana-retain talented citizens. NUT iliongoza kwenye technological innovations zilizo-drive manufacturing industries. Pia Yew hakuwa na mzaha kabisa na rushwa, ndiyo maana aliacha mahakama (na mfumo wa haki) ziwe huru na wazi ili zidili vyema na wala rushwa bila kuingiliwa na serikali. Na hadi leo Singapore bado inategemea sana foreign high-calibre workers na business people, thanks to Yew. Singapore siku zote ina rank highly kwenye suala la mazingira bora ya kufanya kazi na biashara, thanks to Yew. Na hadi leo hawana mzaha na rushwa hata kidogo.

Sasa unataka kumfananisha Yew na huyu kituko wetu? He isn't visionary; he is intellectually inept; he lacks even substance in his normal talks. Hakuna hata moja ambalo Yew alifanya kwa Singapore, this charlies of ours analifanya.

merkel of Germany, xi jinping etc, don't be held hostage kwa kikaratasi chenye maandishi ya bin Adam, anaweza adhere anaweza ignore,

Kwamba Merkel ni dictator ama kajiongezea muda? None of the two ni sahahi. Kwa sababu Katiba ya Ujerumani haina term limit kwenye nafasi ya the Chancellor. So, Merkel can vie for chancellorship as many times as she can.

Unamtaja Xi, mtu ambaye ndiyo kwanza Katiba imebadilishwa. Lakini kama nilivyosema awali, China wameshaendelea hata kabla ya badiliko la presidential term limit. Na kama ni mfuatiliaji wa siasa za China, badiliko hilo halihusiana hata kidogo na narrative ya kupata muda wa kuleta maendeleo. Linahusu zaidi internal na regional power struggles, jiongeze kidogo iki upate kuelewa.

kama mtu ana manufaa yaliyozidi sana hasara, why not go on with his/her

Magufuli ana manufaa gani? Zaidi ya ufisadi (alioanza kufanya toka akiwa waziri; na anaoendelea kuufanya sasa kwa kuweka mambo yahusuyo fedha za umma, mikataba, tenda n.k., gizani), uroho mbaya (kutamka wazi kwamba anataka wananchi waliomchagua waishi kama mashetani), ujinga (ni intellectually inept), upambaji wa rushwa (siyo upambanaji, ref. Mnyeti, na biashara ya kununua wapinzani na wasanii) n.k.

The charlie has been part of corrupt CCM governments for 20+ years. He did nothing special or extraordinary to differentiate himself from the rest of CCM crooks. In fact, kama nilivyosema, he was (still is) himself very corrupt (ref. CAG reports on Dar Ferry, government houses, road construction contracts) na mwenye maamuzi ya kukurupuka yaliyoitia serikali hasara (ref. Furahisha petrol station, na 'samaki wa Magufuli' saga).

Kama manufaa, anayo kwa CCM na posse yake tu.
 
poor country only $5b

Nimeisikiliza hotuba ya JPM alipokuwa anapokea report ya Controller and Auditor General na nimeshangaa sana alipokuwa anatetea ukuaji wa deni letu la Taifa kwa kigezo cha kujustify ukuaji wake kuwa kuna nchi kubwa zinadaiwa zaidi kuliko sisi hivyo tuendelee tu kukopa!! Huwezi kutulinganisha sisi hapa leo na nchi kama Marekani kwani wao haowaogopi madeni kwasababu fedha zao ni convertible currency; they just have to print the dollars to pay their obligations!! Sisi ni lazima tupigike kweli kuuza bidhaa nje ili kupata hizo fedha za kulipa madeni ya nje.

Sisi tukifanya mchezo wa kukopa na kuwekeza kwenye miradi isiyokuja kulipa hapo baadae kwa kutokuwa makini na kuwekeza kisiasa[ mfano ni kiwanja cha ndege kule Chato] nchi itakuja kuwa mufilisi kama ilivyopata kuwa Greece!!! Inawezekana wakati huo viongozi wahusika na ukopaji huo watakuwa hawapo madarakani lakini watoto na wajukuu zao watakuja beba mzigo huo na kwa hasira wanaweza kuja kufukua makaburi yenu!!!

Leo ndio nimeamini kuwa viongozi wengi wa kiafrika ingawa wanajidai ni wacha Mungu lakini ni washirikina!!! Mmemsikia Magufuli aliposema kwenye hotuba yake kuwa wale wakurugenzi wawili wa wilaya waliofukuzwa kazi kutokana na report ya CAG saa hizi laizma wanatuma mapepo yao!! You might think that it was a joke but it must have come from his sub conscious.
 
Labda unge - google katiba ya APK, ili ufahamu kuwa unaweza kugombea uwaziri mkuu mara tatu tu. Kwa Erdogan, 2014 hakuweza kugombea uwaziri mkuu kwa sababu hiyo.
But he was smart, na kuanzia 2007 alianza kutimiza scheme yake ya kuwa na rais wa nguvu. Ni kazi sana kama unafuatilia politics kuwa na nguvu nyingi through Parliament, it's a headache and needs a lot of concessions, a lot of fake friends, a lot of fake smiles. You can be dropped anytime too, hebu waangalie wajapan for example hata wajerumani na waingereza pia. You can hardly dictate a parliament.
Erdogan is tring to be a Sultan. Mark my words and watch this space when he becomes one. So far he has guaranteed himself absolute power till 2029. Kama hujui hili basi utakua unasoma vitu for the sake of countering arguments which is exactly what I thought.
wa kipindi chake PM ndiye alikuwa head of government. Sasa kuanzia mwakani nafasi ya uPM itafutwa Uturuki. Na PM upendekezwa na Rais, kwa maana hiyo Erdogan hakujiweka tu kwenye uPM. Na wala ha
I dont know what are you talking about, but anyways ....
Hehe ......
Russia has The worlds 12th largest GDP.
It's the world's powerhouse (yes, as in mitochondria). I'm not only talking about military power, but also energy reserve This is a bad combination. It's like an elephant with a pitbull's ferocity.
Russia has a higher HDI and GDP per capita than Turkey.
OECD???
Czech Republic, Poland, Hungary, Mexico ............. They are members of OECD.
kEEP LYING TO YOURSELF.
 
Nimependa sana uchambuzi wako.
Umeandika Facts.

Kiukweli kabisa chini ya utawala wa Jiwe, mwisho wa siku sote tutaangamia.
 
.
You can hardly dictate a parliament.

Why is there a need to dictate a parliament in a so called democratic country? Hapa siyo kujipa absolute powers? Ndiyo mnataka Magufuli afanye hivyo? In fact ameshaanza kufanya kwa biashara yake ya kununua wapinzani.

Sidhani kama ni mwelekeo sahihi. Kwani it has proven problematic, na success stories are rare.

One thing that I have been saying is for Magufuli to change the Katiba and delete the article that proclaims Tanzania as a democratic country. Kufanya hivyo, hatokaa asikie wakina siye tunamsema. But, as long as we are a democratic (though on paper), then we should act like one. Na siyo kutumia mifano ya nchi zenye flawed democracy ku-validate your ill ambitions.


Wasn't this obvious when I said kwamba mabadiliko yanaanza kufanya kazi mwakani? Na kwa 5 years term (twice), Erdogan atatawala mpaka 2029. Then, huo ndiyo mwisho wake. Sioni ni wapi kuna yeye kujiongezea muda wa kutawala, kama mnavyotaka kwa huyu kituko Magufuli. Huo usultani ni wewe kupiga ramli tu. It is an abstract imagination.



Whatever the case, kama ndivyo mnavyomshauri huyo kituko wenu, kwamba ajifunze kutoka Urusi, basi kazi ipo. Kwanini hamtaki kujifunza kwenye nchi ambazo standard of living na HDI ni the highest? Mnataka kujifunza kutoka kwenye flawed democracies ili m-legitimise ndoto zenu ovu.

Nimekwambia Urusi ni Moscow na St. Petersburg tu. Huko kwengine ni hoe hae tu. Uchumi wa Urusi upo mikononi mwa oligarchs wachache. Hivyo pengo kati ya haves na haves not ni kubwa mno. Sidhani kama huo ndiyo mwelekeo unaotufaa. Kuna nchi za kujifunza na zenye kufaa kuiga, lakini Urusi na Uturuki, haziwezi kuwa moja ya nchi hizo. Uswisi, Nordic countries, New Zealand, Australia, hizi ndizo zinafaa kujifunza namna wanvyoendesha siasa zao na namna siasa zinavyochangia kwenye ustawi bora wa jamii na nchi zao.

Na ndiyo, Czech, Hungary na Poland zina rank higher than Russia kwenye HDI. Hivyo standards of living are better than in Russia.
 
Ushaanza kubadilisha magoli.
I do not condone dictatorship, but I was talking as a devil's advocate. Showing you there are example of dictatorial regimes that are performing well economically than some democracies. Turkey is an example.

Nimekupa mfano wa mtu anyejiongezea muda, lengo lake ni kuwa more powerful and for a long term. That was a driving force kwa erdogan. Parliamentary system wasn't and isn't his cup of tea.


No it wasn't. Again stop lying to yourself kwa sababu, lengo la Erdogan lilikuwa obvious, ni kushika madaraka kwa muda mrefu. Terms zake tatu ziliisha akabadilisha katiba kumfanya rais awe na nguvu ili aendelee kutawala zaidi. sasa hapo usichoelewa nini??
Unaanza kuleta mambo ya obvious, obvious what??


Russia ni nchi iliyoendelea, like it or not. HDI ya Russia ipo kwenye top quantile, i.e highly developed countries. Imeendelea katika kila kipimo kuliko Turkey. kwanini uikubali Turkey na uikatae Russia kwa vipimo hivyohiyo?
Please mayn!
 
Mnaonufaika na utawala huu mnaangaika sana kuwaza after ten years itakwaje mkate ukiisha....fanya ya maana kama upo kwa system achana na huo upuuzi wa 20 years...
 


Why are you comparing Tanzania's GROSS foreign exchange reserves with Kenya's USABLE foreign exchange reserves? Oranges to apples much? Interestingly, Kenya's USABLE foreign exchange reserves are still higher than Tanzania's GROSS foreign exchange reserves. In the October 2017 month that you quote, Kenya's GROSS foreign exchange reserves were $9.4695 billion.
 
Message sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…