Singaporean dictator ndio aliinua uchumi wa Singapore, Ghadaffi, Hosni Mubarak, Assad,
Kwa hiyo mzee, Magufuli ni dictator siyo? Naona low-key acceptance. Unasema Magufuli anafanana na Assad, Ghadaffi na Mubaraka!! Kwa hiyo hizi nchi ulizozitaja zimeendelea? Ebu ziangalie kwenye Human Deveopment Index zipo nafasi gani.
Singapore unaitaja bila kuelewa ni namna gani ilivyofika hapa. Unajua kwenye 1960s-1970s tu ilikuwa maskini kama Tanzania? Yew alikuwa visionary: alizingatia zaidi economic growth, alivuta sana expats ili walete world class manpower, aliweka transparency katika mfumo wa ukusanyaji na matumizi ya kodi, alizingatia ufanisi na ubora katika utendaji serikalini, aliweka mfumo imara sana wa kisheria na alizingatia sana sheria, aliwekeza kwenye mfumo bora kabisa wa public education (ndiyo maana hadi leo Nanyang Technological University (NTU) na National University of Singapore (NUS) ni moja ya vyuo bora kabisa duniani: NTU ni cha 11 kwa ubora duniani na NUS ni cha 15). Na human capital ndiyo ilikuwa one of the main drivers of the 'Singapore miracle'. Yew aliwekeza kweli kweli kwenye elimu; na alifanya kila namna kuhakikisha ana-retain talented citizens. NUT iliongoza kwenye technological innovations zilizo-drive manufacturing industries. Pia Yew hakuwa na mzaha kabisa na rushwa, ndiyo maana aliacha mahakama (na mfumo wa haki) ziwe huru na wazi ili zidili vyema na wala rushwa bila kuingiliwa na serikali. Na hadi leo Singapore bado inategemea sana foreign high-calibre workers na business people, thanks to Yew. Singapore siku zote ina rank highly kwenye suala la mazingira bora ya kufanya kazi na biashara, thanks to Yew. Na hadi leo hawana mzaha na rushwa hata kidogo.
Sasa unataka kumfananisha Yew na huyu kituko wetu? He isn't visionary; he is intellectually inept; he lacks even substance in his normal talks. Hakuna hata moja ambalo Yew alifanya kwa Singapore, this charlies of ours analifanya.
merkel of Germany, xi jinping etc, don't be held hostage kwa kikaratasi chenye maandishi ya bin Adam, anaweza adhere anaweza ignore,
Kwamba Merkel ni dictator ama kajiongezea muda? None of the two ni sahahi. Kwa sababu Katiba ya Ujerumani haina term limit kwenye nafasi ya the Chancellor. So, Merkel can vie for chancellorship as many times as she can.
Unamtaja Xi, mtu ambaye ndiyo kwanza Katiba imebadilishwa. Lakini kama nilivyosema awali, China wameshaendelea hata kabla ya badiliko la presidential term limit. Na kama ni mfuatiliaji wa siasa za China, badiliko hilo halihusiana hata kidogo na narrative ya kupata muda wa kuleta maendeleo. Linahusu zaidi internal na regional power struggles, jiongeze kidogo iki upate kuelewa.
kama mtu ana manufaa yaliyozidi sana hasara, why not go on with his/her
Magufuli ana manufaa gani? Zaidi ya ufisadi (alioanza kufanya toka akiwa waziri; na anaoendelea kuufanya sasa kwa kuweka mambo yahusuyo fedha za umma, mikataba, tenda n.k., gizani), uroho mbaya (kutamka wazi kwamba anataka wananchi waliomchagua waishi kama mashetani), ujinga (ni intellectually inept), upambaji wa rushwa (siyo upambanaji, ref. Mnyeti, na biashara ya kununua wapinzani na wasanii) n.k.
The charlie has been part of corrupt CCM governments for 20+ years. He did nothing special or extraordinary to differentiate himself from the rest of CCM crooks. In fact, kama nilivyosema, he was (still is) himself very corrupt (ref. CAG reports on Dar Ferry, government houses, road construction contracts) na mwenye maamuzi ya kukurupuka yaliyoitia serikali hasara (ref. Furahisha petrol station, na 'samaki wa Magufuli' saga).
Kama manufaa, anayo kwa CCM na posse yake tu.