Kumbe kesi haijaisha? Imekuaje hukumu inekuwa registered USA, UG, Canada. Pelekeni prop zenu Kampala muone.Katika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Lengo la hizi forum ni kujuzana na kuelimishana, sasa kama husemi kile unachokijua badala yake unazungumza kimafumbo hutopata jibu lolote la maana, endelea kulimbikiza ujinga.Kumbe kesi haijaisha? Imekuaje hukumu inekuwa registered USA, UG, Canada. Pelekeni prop zenu Kampala muone.
Huwezi kuvuta bhangi ukiwa na njaa, kwanza tafuta chakula cha uhakika ambacho hujaweza kukipata.Hii bangi uliyonyonya ni grade gani, nipe nami ninyonye, nina kiu sana
Ten times better to be LDC than to be be failed stateLDC mentality inasumbua yeye lakini hajui.
Wewe unajua fedha zipi za Tanzania?, huwezi kuuliza kitu usichokijua, kwanza eleza pesa ipi ya nchi unayoijua ndipo ujibiwe hizo anazosema pesa zetu.Ogopa sana mtu anaerudiaridia kila wakati jambo fulani.....tunajenga SGR kwa fedha zetu (zipi?).
Kuna frustration na kuna ndoto atofautishe hilo kwanza.
Shida yenu wavivu hadi mnadhani kila mtu mvivu. Kipengee kipo kwa document yenu mliyopost hapa wenyewe ila kusoma kumewashinda.
View attachment 727516
Jibu mubasharA...utani pembeni hizi thread watu hawasomi huishia comment tu...sikutegemea useme $5bln pesa ndogo...ajabu kwelkwelBillioni tano ya dollar, mkuu hio sio billioni tano ya Tanzania, na sio pesa kidogo. Mimi ni mkenya lakini siwezi kubali upotoke. Hii dunia hakuna msanii anaye dollar billioni 5. Hata Dr. Dre au J.Z hawana.
Hivi hata mie nimeshangaa sana, BL 5 si ni pesa ambayo wasanii tu wanakuwa nayo, kumbe ndo balance ya nchi nzima
Gates mbali sana Dangote jeaibu aisee, bill gates anawashinda
RwandaEbu nitajie nchi moja tu, ambayo kiongozi kakaa madarakani kwa muda mrefu (kwa kubadili katiba na kujiongezea muda) na nchi hiyo imeendelea?
Kipindi cha kampeni vitu alivyokuwa anaongea tulidhani ndotoAnamjengea nani SGR!! Sema tume ipa kazi kampuni kutoka nchi yake na tuna ilipa kwa pesa zetu wenyewe. Kama mtu anavyo muajili house helper au accountant.
Kuna mijitu inaona tuko vizuriDangote is richer than BOT's reserve.
Kuna wakati watanzania tusifurahie baadhi ya vitu. Vinatufanya tuonekane kama tuna akili za kimasikini.
Tungekuwa na reserve ya kuanzia $50B ndo tuongee. Ila hiko kiasi ni kidogo mnoooo.
Lkn katika waliojitokeza ndie pekee anaejua kuiongoza nchiSasa alikuwa PM, ndiyo sawa na kuwa Rais? Hiyo Katiba si imebadilishwa akiwa Rais tayari? Maana wakati constitutional referendum inafanyika (nakumbuka ni mwaka jana mwanzoni mwazoni tu) nilikuwa Istanbul.
Na Katiba haijabadilishwa kuongeza muda wa urais. Hiyo ndiyo hoja niliyoijibu.
Unataja Urusi, seriously? Yaani kuna nini cha kujifunza Urusi, ambako ni Moscow na St. Petersburg pekee ndiko kunatamanika. Kwengine huko ni umaskini na shida tupu.
Nitajie nchi zilizoendelea aisee, siyo hizi nchi zilizo kwenye transition. Taja nchi moja iliyoendelea kutokana na incumbent president kujiongezea muda akiwa madarakani.
Yaani nikiangalia nchi zote zilizofanya hivyo, umaskini uliokithiri ndiyo jambo ambalo linatokea kote. Uganda, Rwanda, DRC, Burundi, Cameroon, Zimbabwe, Equatorial Guinea, Congo, Sudan
Unakumbuka wakati wa 1st official trip in Africa, Obama aliwaambia viongozi wa Afrika, kwamba Afrika inahitaji strong institutions na siyo strong leaders. Ni upumbavu kufikiri ati Magufuli (out of 50+ million Tanzanians) ndiye pekee anaweza kuliongoza taifa hili. The charlie has been part of the crooked CCM and governments for 20+ years, now mnataka kutuaminisha ati anafaa. Only charlies like him wataona anafaa.
Nina elf10 benki lkn siwezi kumpa mtu shilingi mia anaenidai kidhurumatiHivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/
Vipi mbona hana bil 78 kulipia deni la ndege zije??
Watu wengine hawanaga sence, ni kuropoka tuKatika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Sasa hiyo ni shi ngapi kaka, au hata hesabu hujuiShida yenu wavivu hadi mnadhani kila mtu mvivu. Kipengee kipo kwa document yenu mliyopost hapa wenyewe ila kusoma kumewashinda.
View attachment 727516
Ni mpumbavu pekee anayeona yupo vizuri kiuchumi. Yaani una reserve ya $5 billion ila wakati hyo huo deni lako limeongezeka kwa $5 billion huu ni ujinga. Zaidi ya trillion moja za kibongo ndo akiba, shithole countryKuna mijitu inaona tuko vizuri