Kwanza je unajua kazi ya reserve??Ni mpumbavu pekee anayeona yupo vizuri kiuchumi. Yaani una reserve ya $5 billion ila wakati hyo huo deni lako limeongezeka kwa $5 billion huu ni ujinga. Zaidi ya trillion moja za kibongo ndo akiba, shithole country
Hajui lolote huyo ni mropoiaji tu, asikupotezee muda wakoKwanza je unajua kazi ya reserve??
Sasa hiyo ni shi ngapi kaka, au hata hesabu hujui
Kuna tofaut ya milion elf5 na bilion 5
Russia ni nchi iliyoendelea, like it or not. HDI ya Russia ipo kwenye top quantile, i.e highly developed countries. Imeendelea katika kila kipimo kuliko Turkey. kwanini uikubali Turkey na uikatae Russia kwa vipimo hivyohiyo?
Please mayn!
Fuatilia posts za nyuma, nimeelezea juu ya Yew.Singapore. Dictator for life Lee Kwan Yew. Leta ubishi baba
Kwahiyo Rwanda imeendelea?Rwanda
Lkn katika waliojitokeza ndie pekee anaejua kuiongoza nchi
Wengine tutajaribujaribu na kurudishwa nyuma
You can't be serious.Sababu nimeieleza: uchumi wa Urusi upo kwenye mikono ya oligarchs. Na pengo la haves na haves not ni kubwa sana. Ndiyo maana hujaona nataja Marekani hapa. Kwani uchumi wao nao upo mikononi mwa matajiri wachache. Licha ya kuwa ni the biggest economy, lakini ina rank poorly kwenye HDI na standard of living.
Nimekutajia nchi ambazo maisha ya wananchi ni mazuri: high standards of living, excellent public services (maji, umeme, elimu, afya, usafirishaji wa umma n.k.). Russia na Marekani high standards utazipata kwenye miji mikubwa tu. Ukienda ndani ndani na miji midogo, mambo siyo mazuri sana. Tofauti na nchi nilizokutajia, ambako tofauti siyo kubwa, na unaweza usizione kabisa.
Nilijua tu akili kama hio haiwezi kuwa ya Mtanzania aliyesomea Tanzania (University of Dodoma, University of Dar es salaam). Dude, why don't you come back and buid your country?You can't be serious.
There's (In)equality adjusted HDI index na hiyo ndiyo niliyo-refer. Bado Russia is better than Turkey in (In)equality adjusted HDI index.
Halafu nadhani huifahamu vizuri Mmarekani. I was educated in the States, I have been living in New York, DC, St. Louis and now in a small town. Life is way better in small towns and in general US has a very very high standard of living compared to almost all non scandnavian Europe
huo muda muongezeeni ww na familia yakoHayo yamesemwa leo na Raisi Magufuli alipokuwa akikabidhiwa report na CAG.
Amedai kuwa reserve ya Bank of Tanzania imekuwa nakufikia $5 billion. Ambayo inauwezo wakuendesha nchi kwa kipindi cha miezi sita(6 month) kama ikitokea emergency yoyote.
Pia amedai pesa yakujenga striglers dam yakuzalisha MW 2,100 ipo. Pia pesa ya 700km za SGR zipo.
Pamoja nayote amedai zaidi ya mabenki 7 makubwa duniani yameshakuja yakitaka kuikopesha Tanzania kwa interest rate ya hadi chini ya 3% kwenye miradi yake mikubwa yakimaendeleo. Hii imetokana na mabenki kuona Tanzania ikisimamia miradi yake mikubwa bila mikopo.
MY TAKE: Kenya kwa sasa kweli iko na reserve au wamesha itafuna kwakulipa madeni??
Pia tutegemee mradi wa SGR kufika kila kona ya Tanzania kama ilivyo kwa barabara.
Naona kuna umuhimu wa Magufuli kuongezewa muda wakutawala Tanzania. Tumpe 20 years.
Kuangalia hayo maongezi ya JPM anzia katikati kwa mbele kidogo inapokalibia kuisha.
Acha shobo, utaolewa..Nilijua tu akili kama hio haiwezi kuwa ya Mtanzania aliyesomea Tanzania (University of Dodoma, University of Dar es salaam). Dude, why don't you come back and buid your country?
Kuja uniowe. Niko tayari shoga mkubwa weweAcha shobo, utaolewa..
Ningekuwa hapa, najinyonga!Ten times better to be LDC than to be be failed state
Kenya ranked as 'failed state'
Good morning my brother from failed stateNingekuwa hapa, najinyonga!
View attachment 728383
Good morning my brother from failed state
More than 60 countries LDCs, that is not big issue, but only Seven are failed states, congratulation.
More than 60 countries LDCs, that is not big issue, but only Seven are failed states, congratulation.
Kenya ranked as 'failed state'
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]