Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo kuna camera hawezi kufanya hivoSiyo tu kwenye maburungutu, muda mwingine wanakupiga wakati wa kuhesabu.
Ukiwapa wanazidondosha chini kwa aujanja halafu anakuambia imepelea inabidi uongezee.
Umakini unahitajika.
Zinahesabika ni ww na uvivu wako, pesa za Bank sio chafu ushindwe kuhesabuburungutu za buku buku za mil 5 mkuu uzihesabie counter kweli?
Milion 20 unashindwa kuhesabu[emoji23], mimi milion 20 za elf 10 au elf 5 natumia dk 20 tu kwa mkonoMwanangu Mimi ndio siwezi kwasababu kwa siku natoa mara tatu au mbili na natoa millioni 20 nitaweza kukaaa na kuesabu kweli
Bank gn hiyo wanakupa pesa chafu ambazo zinatemwa na machine?mashine ile inahesabu noti hai nzima ambazo hazijachoka ikishachoka wanaitenga wanahesabu kwa mkono.
ukipewa chenchi ndio unapewa zile ambazo hazihesabiwi na mashine,shida inaanzia hapo.
utaweza hesabu bank mabunda ya buku na buku mbili milioni 10
Duuuh, kwamba zile Camera huwa haziwaoni!? Wasiwasi wako tu.Nimekua ni mtu wa kuchukua Pesa mara kwa mara Bank na mara nyingi ni mtu ambae sikuaga na utaratibu wa Kuhesabu Pesa ninazo pewa toka BANK.
Lakini niwahakikishie wale ma teller either ni wao au mtu anaewapa yale maburungutu anakua anapiga hela.
Mara nyingi nikitoa Salio la maburungutu huwa unachukua yakiwa kwenye rubber band unapewa unatia kwenye BAG unasepa.
Kutokana na wingi wake huwezi kuhesabu hizo pesa mara zote huo ndio ukweli.
Haya maburungutu yapo aina mbili kuna yale ya NOTI mpya zinazokua na ki karatasi kushika noti zote (hizo hazina shida)
Kuna Hizi Burungutu ambazo noti zake ni Used unakuta zipo tayari counter pale kwa ajili ya kupewa wateja
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2838836
Hizi burungutu Ndugu zanguni nawambia Ukweli nimejiridhisha kwa asilimia 100 na zaidi kwamba haya maburungutu huwa hayatimiii.
Si yote ila nakuhakikishia Ambae anabisha naomba afanye utafiti wake kisha arudi kunipa mrejesho.
Nimekua na kawaida sana ya kwenda Kuomba chenchi ninapokua nimeishiwa kwenye ofisi zangu.
Kwahyo unaweza PEWA burungutu la 2000,1000 na 5000. Mara nyingi kama mjuavyo biashara si muda wote wateja wapo.
Kuna nyakati wateja hamna mnakaa mnatizamana, Nikaona nijipe kazi ya kupanga Zile Noti za bank kwenye mafungu ya laki (noti za 5000) na 10k kwa (noti za buku na buku mbili)
Nikawa nahesabu hesabu hesabu, mara nyingi nakutaga upungufu kwenye noti za 2000 na 1000 ndio zinapochomolewa pesa.
Kila nikihesabu ni lazima kuna mafungu ntayakuta yamemiss 2000 na kwenye buku inamiss Buku.
Hawachomoi nyingi yani laki ya buku wanatoa buku na Laki ya 2000 wanatoa 2000.
Huwezi shtuka haraka utahisi umejichanganya, kilichonfanya nishtuke ni baada ya kuingia na hela kwenye chumba kisicho na pesa kabisa na begi langu nikamwaga pesa mezani kuhesabu.
Sikuamini nilihisi mazingaombwe kweli hela zimemiss.
Nikiumganisha DOTS nikapata majibu kumbe hawa watu hizi ndio tabia zao.
Unaweza jiuliza Teller anapataje marupurupu ila kumbe njia yao ni hiyo.
Wewe unae waamini BANK kwa kutohesabu pesa wanazokupa ipo siku utapga watoto wako wafanyakazi wako ukisema wamekuibia ila Nakwambia Leo hiii BANK ni WEZI mtapga watu wenu wa karibu mtawahisi na kuwafikiria vibaya lakini ukweli ni kwamba BANK kuna wezi wa kimya kimya.
Kama unaaamini hela bank hawaibi endelea.
Nimemaliza.
Sidhani kama ni kweli....lakini sawa tumesikia tutakuwa makiniiiNimekua ni mtu wa kuchukua Pesa mara kwa mara Bank na mara nyingi ni mtu ambae sikuaga na utaratibu wa Kuhesabu Pesa ninazo pewa toka BANK.
Lakini niwahakikishie wale ma teller either ni wao au mtu anaewapa yale maburungutu anakua anapiga hela.
Mara nyingi nikitoa Salio la maburungutu huwa unachukua yakiwa kwenye rubber band unapewa unatia kwenye BAG unasepa.
Kutokana na wingi wake huwezi kuhesabu hizo pesa mara zote huo ndio ukweli.
Haya maburungutu yapo aina mbili kuna yale ya NOTI mpya zinazokua na ki karatasi kushika noti zote (hizo hazina shida)
Kuna Hizi Burungutu ambazo noti zake ni Used unakuta zipo tayari counter pale kwa ajili ya kupewa wateja
👇👇👇