Bapa limepita na mzee wa upako

Sawa Mchumba Ila wanachokoza wenyewe as you know I'ma angry beast sipendi ujinga wa namna Ile anakuja anaanza kunitusi nimchekee?
Sawa fanya unavyoona inakupendeza ipo siku unaweza ukabadili mtazamo
 
Maji na mafuta hujitenga siku zote, no matter the effort iliyotumika
 
Mimi siwezi ugomvi, mtu akikukosea nyamaza kimya, ukimkosea mtu muombe msamaha
Mchumba wakinichokoza tu nakuita unipe Go Ahead niwafurahishe na Roho zao maana mwingine hasikii raha mpaka umjibu ovyo ndio anafurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…