ndio maana ikaitwa bar, sio danguroHuu mtindo wa Bar nyingi kuwatumia wanawake/ mabinti barmaids kwa kuwavalisha mavazi ya aina fulani ili wawe kama chambo/ kivutio cha biashara zao kingono una tofauti gani na uendeshaji madanguro (brothels)?
Nafikiri umefika wakati sasa serikali itambue rasmi biashara za danguro na itofautishe na bar.
bila ile mitego huwezi kweda? Au ulitaka bar maids wavae pashminaUko sahihi kabisa, wanavaa kimitego sana
ndio mkakati wa kibiashara huoBar inakuaje mmiliki anawapa sare ya boxers wahadumu wote wa kike??
kwelUko sahihi kabisa, wanavaa kimitego sana
π π πLeo wewe usijibu, pumzika.
Kwenye muziki, movies na promotions naweza kuelewa kwa sababu pia ni rahisi kufanya uamuzi wako binafsi, sasa bar ndio sehemu ya kukutana kwa Tanzania na wakati mwingine mtu anaweza kwenda hata na mke au familia. Kuna umuhimu wa kutenganisha bar na strip club.Sex sells
Na haipo tu kwenye mabar
Kwenye entertainment business bila msanii wa kike kuvaa kimitego haiendi na imeingia hadi kwa DJs, video vixens na mara nyingine hadi actresses
Kwenye kampuni nyingi, mabinti wa ushering, promotions, customer service au sales. Muonekano huzingatiwa na nguo flani nadhifu
Bado hujaongelea wahudumu wa migahawa, mama ntilie etc
Kiufupi wanawake washaonekana ni wa ngono kwa hiyo kada nyingi zipo hivyo kutokana na mindset za watanzania wengi. Sio issue ya career ila mtazamo wa watu
Ni kweli mkuu ila fuatilia hata wahudumu wa vyakula haswa ngazi za chini. Michezo ni ile ile japo bar imezidiKwenye muziki, movies na promotions naweza kuelewa kwa sababu pia ni rahisi kufanya uamuzi wako binafsi, sasa bar ndio sehemu ya kukutana kwa Tanzania na wakati mwingine mtu anaweza kwenda hata na mke au familia. Kuna umuhimu wa kutenganisha bar na strip club.
mkuu serikali yenyew mbona inamilik watu wa namna hiyo?Huu mtindo wa Bar nyingi kuwatumia wanawake/ mabinti barmaids kwa kuwavalisha mavazi ya aina fulani ili wawe kama chambo/ kivutio cha biashara zao kingono una tofauti gani na uendeshaji madanguro (brothels)?
Nafikiri umefika wakati sasa serikali itambue rasmi biashara za danguro na itofautishe na bar.
Maustaadhi sisi hatuendi bar...tutakutana nao peponi. Huo mtego sio wetu π π π π π π π π πHuu mtindo wa Bar nyingi kuwatumia wanawake/ mabinti barmaids kwa kuwavalisha mavazi ya aina fulani ili wawe kama chambo/ kivutio cha biashara zao kingono una tofauti gani na uendeshaji madanguro (brothels)?
Nafikiri umefika wakati sasa serikali itambue rasmi biashara za danguro na itofautishe na bar.